Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,882
- 49,328
Exactly...ccm ilishapanga toka mwanzoni kwamba watafanya uchafu wote halafu baada ya hapo wataomba maridhiano..
Walikuwa na nia ovu toka siku ya kwanza na walisuka mipango yote, ndio maana Polepole alisema mwanzoni kabisa na alijua huu mpango sababu alikuwa ndani ya mfumo akasema "msikubali".
Kuna kakikundi ka watu wachache ndani ya ccm ambapo ndio wanaratibu haya yote...
Hawa jamaa waovu sana...