Warundi ni watu wema sana. Tuanze kwenda huko na kufanya nao biasharaMasala Sayi
Chuo Kikuu cha Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021.
Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi wa mawasiliano ya Rais ikulu Ndugu, Jaffar Haniu imebainisha kuwa Rais Samia akiwa nchini humo atashiriki shughuli mbali mbali ikiwemo kuhutubia mkutano wa jukwaa la wafanyabiashara wa Burundi na Tanzania.
"Mh. Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mh. Rais Evariste Ndayishimiye, kisha atashuhudia utiaji saini wa hati za makubaliano na kungumza na vyombo vya Habari, Mh Rais Samia atahudhuria na kuhutubia Jukwaa la wafanyabiashara wa Burundi na Tanzania kwa lengo la kujadili fursa za biashara na uwekezaji zilizopo nchini Tanzania na Burundi" ilibainisha taarifa hiyo.
Aidha ziara hiyo itakayodumu kwa siku mbili, itakuwa ziara ya nne kwa Rais Samia kufanya nje ya nchi tangu alipo apishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
BURTAN mkuu hahahJina la huo Muungano litaitwaje?
Ulitaka abembembelezwe?Mama nae mnamsagia kunguni kama Mwendazake hakika nyinyi watu hamjui hata nini mnataka
Ana divert attention.Mama anaendaje nje huku wameleta mitozo ya kuua uchumi.
By another convention signed in March 1921 Belgium obtained the right of transit of goods free of all custom duties over the railway from Kigoma (the lake terminus of the line) to Dar es Salaam, and in general by any other route adapted for transit, together with areas (on payment of nominal rent) at both ports for wharfs, bonded warehouses, etc. The districts which Belgium had temporarily administered but which fell within the British mandatory area were formally transferred to the British administration on March 22 1921.
Polisiccm watakuwa wamesafiri?Anakimbia huko Burundi ili kupisha joto la TOZO lipoe kidogo bila shaka! Haitasaidia kitu hata hivyo. 2025 bye bye!! Na ccm yake!
Wapinzani Na Mabeberu Wametuchelewesha Mno 😃😂😁😁😉Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
😁😁😁 Bora nisiliandike maana nisije kula ban bure mkuuJina la huo Muungano litaitwaje?
😂😂😂Jina la huo Muungano litaitwaje?
Stroke sijawahi kukusupport Leo nakubaliana na wewe, hiki kiminyo ni cha kiwango cha SGR.Ile style ya awamu ya nne imejirudia.
Baada ya kiminyo lazima mtu aruke na ndege mahali.