Rais Samia kusomesha vijana 20 wasiojiweza

Kwa nini atoe pesa ya mfukoni mwake??

Yaani serikali inayokusanya kodi inashindwa yeye kwa fedha za mfukoni mwake atawezaje??
Kwaiyo ulitaka asiwasaidie? acha roho mbaya kijana mdogo Rais Samia Suluhu ana moyo wa kutoa acha atoe na Mungu atambariki
 
Back
Top Bottom