Rais Samia kuongoza protokali ya mazishi ya muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei

Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo

1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia mwaka Sasa Kwa kesi ya kusingiziwa

2. Chadema imefungiwa kufanya siasa Kwa muda mrefu Sasa

3 Wanachama na viongozi wa Chadema wanapitia harassment nyingi

Binafsi naona huu msiba unawahusu zaidi chadema, wanatakiwa wao washirikishwe kila hatua ya kumzika mwasisi wa Chama chao
 
Mbowe anapenda sana kujikomba kwa watawala hata pale ambapo anatakiwa kukaza. Hata hivyo sio ajabu sana ni tabia ya wabongo kuabudu watawala na wanaoitwa viongozi wa kidini, kwa wachaga ni zaidi.
Ngoja Tutaona mengi
 
Mtei alikuwa Gavana, Waziri wa Fedha, pia muasisi wa Chadema, kwa vyeo vyake Raisi anaweza kumzika, ila kwa jinsi hali ilivyo wangemkaushia tuu huyo mama. Mbowe bado ana hasira. 😊

Nje ya mada: Binafsi waga simwamini mwanasiasa yeyote yule, kwa namna yeyote ile. Siasa ni michongo ya watu.
 
Una hoja
 
Wengi wenu mmeijua Chadema kupitia Mbowe.
Enzi ya Bob Makani wengi wenu hamkuwapo, leo mnamuona Mbowe ana kimbele mbele!!

Kwanza msiba unamhusu sana yeye kuliko hata chama maana ni baba mkwe huyu aliefariki.

NYUMBU WATOTO WAMEKUWA WENGI KULIKO WAZAZI WAO.
 
Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei

Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila kuwashirikisha Chadema amefanya mualiko huo

1. Lissu Mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani karibia mwaka Sasa Kwa kesi ya kusingiziwa

2. Chadema imefungiwa kufanya siasa Kwa muda mrefu Sasa

3 Wanachama na viongozi wa Chadema wanapitia harassment nyingi

Binafsi naona huu msiba unawahusu zaidi chadema, wanatakiwa wao washirikishwe kila hatua ya kumzika mwasisi wa Chama chao
Mbowe ni fala sana yule.
 
Unajua watu hawajui tu. Huyu jamaa hakuna mali aliyoongeza juu ya alizopewa na baba yake ? Hadi Billcanas na ofisi za Tanzania Daima ni jengo la Marehemu Mzee Aikaeli Mbowe. Huyu jamaa aliacha shule na kuishia form six. Lissu akamshawishi arudi shule juzi juzi ndio akatafuta degree Uingereza. Huyu mwamba hakustahili hata kuwa mwenyekiti wa chama. Tunaipa nguvu sana siasa. Na huko kwenye siasa wanaoweza kuingia ni watu wasio na vigezo.
Kinachoniuma zaidi kuna kiwanja pale moshi mjini hakijajengwa. Baba yake alipewa na Nyerere kama zawadi NHC walikuwa wanakifuatiliwa 2010s wakaambiwa ni mali ya Marehemu Mzee Aikaeli Mbowe. Hata kuhamisha hati jamaa hakufanya ikabidi waipe taaarifa familia. Mara ya mwisho 2023 Februari bado hawajajenga kipo wazi.
 
Kweli kabisa
 
Ntarudi tena kifo cha huyu faza kina utata vipimo vya uchunguzi vinafuatiliwa

wait and see!
 
Back
Top Bottom