StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,620
- 7,831
Huyo anateswa na hofu. Hofu ya kuona kwamba pesa zitakuwa hazikai kwenye mifuko muda mrefu hivyo ulaji wao usio rasmi utatoweka.Haya ni mawazo ya waajiriwa wa hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii ndo maana wachangiaji wengi wanasema mna kiburi.Na ni ukweli mtupu
Mnasahau kwamba sisi wanachama wa mifuko hii ndio waajiri wenu.
Unataka kuniambia hiyo 10% anayochangia mwajiri hainihusu? are you serious?
Kama hainihusu mbona hakuchangii wewe usiyemfanyia kazi? Ikumbukwe mwajiri kama simzalishii faida
akafirisika anaruhusiwa kufunga biashara na tukaachana,ndo maana tunapambana kuhakikisha
kazi zinafanyika kwa kiwano ili kampuni zipate faida tulipwe mishahara na marupurupu mengi ikiwemo hilo la 10%
ya mifuko ya hifadhi ya jamii,bima,WCF n.k
Kwa wenye upeo mdogo wa mawazo wanadhani mwajiriwa anapewa kama hisani,
kama ni hisani basi wangepewa wananchi wote kwa kigezo cha kuwa ni watanzania.
Kuna watu wachache,mnajisikia vibaya hata kuona housegirl wako anashiriki kula mkate
mezani kwako au kunywa chai unadhani ni hisani wakati ndiye kapika hiyo chai
na akiamua kukuwekea sumu,unaweza kufa wewe na familia yako yote kama panya.
Badilika
OVER
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app