Rais Samia Kumbuka Fao la Kujitoa

Rais Samia Kumbuka Fao la Kujitoa

Wabadilishe jinsia afu vikojoleo uviweke usoni mamamamaae zao.

Ntakupa namba ya mtaalam wa hayo mambo, hapo Handeni sio mbali
Wala si lazima nitumie huyo wa Handeni, me mwenyewe natosha. Kwetu ni kisiwani Ukara, mama yangu ni mchawi sugu, nikimpatia hizi taarifa aliyeniomba hiyo hela ndani ya masaa saba hana maisha. Hela zangu zinaniuma sana ....
 
Ni ujinga sana,unaacha kazi au kuachishwa kazi,huko NSSF una pesa zako ulizochangia kwa miaka kadhaa,ukiwaambia wakupe zote hawataki eti wanakupigia mahesabu wakupe kidogokidogo kwa miezi sita eti ukipata Ajira utaendelea kuchangia,nani aliyewaambia anataka kuendelea kuajiriwa??kati ya vitu vya kipumbavu nchi hii ni pamoja na suala hilo,halafu hao wafanyakazi wa NSSF wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wao Maka Mshomba wana viburi utadhani watashika hizo nafasi mpaka kaburini

KUONDOKEWA MAFAO YA KUJITOA NI KWA MANUFAA YA WANACHAMA

Nimesoma yote yaliyoandikwa na wadau na kugundua kwamba wote hawafahamu DHANA YA HIFADHI YA JAMII. Kwa sisi tuliopiya IFM, ninvyema tukatoa elimu kidogo kwa ndani gu zetu ambao hawaelewi vizuri jambo hili. Kwa taarifa, dhana msingi ya Hifadhi ya Jamii ni:-

“Kumfanya mtu kuweka akiba kidogokidogo wakati ana uwezo wa kutengeneza mapato ili akiba hiyo imfae wakati atakapokuwa hana uwezo wa kuzalisha mapato”.

Kwa NSSF, Sheria inamtaka Mwanachama kuchangia 10% tu ya mshahara wake; na Sheria hiyo hiyo inamlazimisha Mwajiri kuchangia 10% ya ziada kukamilisha akiba ya Mwanachama huyo. Kwa maana nyingine, Mwanachama asingepata hiyo 10% ya Mwajiri bila ya Sheria hii.

Akiba hii inapaswa kuendelea kujaziwa kwa kipindi chote cha Mwanachama akiwa na uwezo wa kufanya kazi. Wakati mtu anapochangia 10% ya mshahara wake, anabaki na 90% ya mapato yake. Kudundiliza huku kutaendelea kwa kutumia waajiri mbalimbali atakaofanya nao kazi katika maisha yake.

Kama ni mjasiriamali mzuri, atatumia kiasi kingine kidogo kutoka 90% ili kudunduliza mtaki kwa muda fulani na kuanza biashara. Kama atashindwa kufanya hivyo hadi siku anakosa ajira ndiyo aanze kupambania 10% aliyokuwa anaweka ili aanzisjie biashara, huyo siyo mjasiriamali. Na uwezekano mkubwa ni kwamba hata akizipata hazitamfikisha mbali na itambidi atafute kazi tena ya kuajiriwa.

Sasa wakati akifikia utu uzima na uwezo wa kuchakarika kufanya kazi haupo, ndiyo sasa ataanza kupata pensheni ya kila mwezi hadi mauti yatakapomchukua. Kama aliwahi kuanzisha biashara na ikafanikiwa, maisha yake ya uzeeni yatakuwa mazuri. Kama hakuwahi kuanzisha biashara, basi atakuwa na uhakika wa kupata mahitaji yake muhimu.

Fursa za kuanzisha biashara ziko nyingi tu kwa wajasiriamali waziri. Tukumbuke Bilionea Reginald Mengi alianzisha IPP wakati yeye ni mwajiriwa wa PWC mpaka pale kampuni yake ya IPP ilipokuwa kubwa sana ndipo akaacha kazi. Unaweza ukachangia SACCOS au ikaweka fedha zako Benki na baadae ukachukua mkopo kuanzisha biashara. Kama haya yote huyawezi, kuwa na uhakika hata akiba yako ya NSSF ya 10% haitakusaidia kitu.

Kila mfumo umeanzishwa kwa makusudi yake na taratibu husika lazima zifuatwe. Kama kwa bahati mbaya makusudi haya hatyajui vizuri tuepuke kufanya kosa na kuongea bila elimu na kuanza kuwatukana watu matusi wasiyostahili.
 
Fursa za kuanzisha biashara ziko nyingi tu kwa wajasiriamali waziri. Tukumbuke Bilionea Reginald Mengi alianzisha IPP wakati yeye ni mwajiriwa wa PWC mpaka pale kampuni yake ya IPP ilipokuwa kubwa sana ndipo akaacha kazi. Unaweza ukachangia SACCOS au ikaweka fedha zako Benki na baadae ukachukua mkopo kuanzisha biashara. Kama haya yote huyawezi, kuwa na uhakika hata akiba yako ya NSSF ya 10% haitakusaidia kitu

Shukrani kwa somo zuri, hii ndiyo JF. Inatakiwa mifuko ya Jamii nayo itowe somo kama hili la Load Rajpar ktk media zote badala ya kuogopa kufafanua masharti na vigezo vya fuko hili la Jamii.
 
KUONDOKEWA MAFAO YA KUJITOA NI KWA MANUFAA YA WANACHAMA

Nimesoma yote yaliyoandikwa na wadau na kugundua kwamba wote hawafahamu DHANA YA HIFADHI YA JAMII. Kwa sisi tuliopiya IFM, ninvyema tukatoa elimu kidogo kwa ndani gu zetu ambao hawaelewi vizuri jambo hili. Kwa taarifa, dhana msingi ya Hifadhi ya Jamii ni:-

“Kumfanya mtu kuweka akiba kidogokidogo wakati ana uwezo wa kutengeneza mapato ili akiba hiyo imfae wakati atakapokuwa hana uwezo wa kuzalisha mapato”.

Kwa NSSF, Sheria inamtaka Mwanachama kuchangia 10% tu ya mshahara wake; na Sheria hiyo hiyo inamlazimisha Mwajiri kuchangia 10% ya ziada kukamilisha akiba ya Mwanachama huyo. Kwa maana nyingine, Mwanachama asingepata hiyo 10% ya Mwajiri bila ya Sheria hii.

Akiba hii inapaswa kuendelea kujaziwa kwa kipindi chote cha Mwanachama akiwa na uwezo wa kufanya kazi. Wakati mtu anapochangia 10% ya mshahara wake, anabaki na 90% ya mapato yake. Kudundiliza huku kutaendelea kwa kutumia waajiri mbalimbali atakaofanya nao kazi katika maisha yake.

Kama ni mjasiriamali mzuri, atatumia kiasi kingine kidogo kutoka 90% ili kudunduliza mtaki kwa muda fulani na kuanza biashara. Kama atashindwa kufanya hivyo hadi siku anakosa ajira ndiyo aanze kupambania 10% aliyokuwa anaweka ili aanzisjie biashara, huyo siyo mjasiriamali. Na uwezekano mkubwa ni kwamba hata akizipata hazitamfikisha mbali na itambidi atafute kazi tena ya kuajiriwa.

Sasa wakati akifikia utu uzima na uwezo wa kuchakarika kufanya kazi haupo, ndiyo sasa ataanza kupata pensheni ya kila mwezi hadi mauti yatakapomchukua. Kama aliwahi kuanzisha biashara na ikafanikiwa, maisha yake ya uzeeni yatakuwa mazuri. Kama hakuwahi kuanzisha biashara, basi atakuwa na uhakika wa kupata mahitaji yake muhimu.

Fursa za kuanzisha biashara ziko nyingi tu kwa wajasiriamali waziri. Tukumbuke Bilionea Reginald Mengi alianzisha IPP wakati yeye ni mwajiriwa wa PWC mpaka pale kampuni yake ya IPP ilipokuwa kubwa sana ndipo akaacha kazi. Unaweza ukachangia SACCOS au ikaweka fedha zako Benki na baadae ukachukua mkopo kuanzisha biashara. Kama haya yote huyawezi, kuwa na uhakika hata akiba yako ya NSSF ya 10% haitakusaidia kitu.

Kila mfumo umeanzishwa kwa makusudi yake na taratibu husika lazima zifuatwe. Kama kwa bahati mbaya makusudi haya hatyajui vizuri tuepuke kufanya kosa na kuongea bila elimu na kuanza kuwatukana watu matusi wasiyostahili.
Wewe ndugu sikiliza, nimefanya kazi miaka 5 kwa mfano Kampuni B,baada ya hapo Kampuni imekufa,NSSF watakomaaje na Mafao yangu??wao wanipe nikapambane na mambo yangu mtaani,hata nikizi-mis-use wao haiwahusu!!na kimsingi sina Mkataba na Mungu kwamba nitafikisha miaka 60 ili nianze kupewa Pension,huo ndio uungwana
 
Hakuna fao la kujitoa ktk mifuko ya hifadhi ya jamii duniani kote.
Mifuko hyo ni kwa ajili ya kumlinda mfanyakazi na majanga baada ya kustaafu ndo maana wewe unachangia only 10% ili hali mwajiri nae anaweka 10%.
Kama unataka kujiajiri jiwekezee 10% kwenye kibubu tuone kama utaweza kuwekeza baada ya miaka kumi.

Fao la kujitoa liliwekwa mwaka 1998 wakati wa ushindani kwenye kusaka wanachama kwa kua kulikua na mifuko 5,
Mwaka 2012 liliondolewa kina ZZK wakatetea likabaki kiaina ila ni kinyume na maana ya kuanzishwa mifuko hyo.na mwaka 2018 IRENE ISAKA alilifuta rasmi lakini mwendazake ktk kutafuta sifa akamfukuza kazi nanyi mkachekelea kizuzu.

Hakuna fao la kujitoaaa

Over
Haya ni mawazo ya waajiriwa wa hiyo mifuko ya hifadhi ya jamii ndo maana wachangiaji wengi wanasema mna kiburi.Na ni ukweli mtupu
Mnasahau kwamba sisi wanachama wa mifuko hii ndio waajiri wenu.

Unataka kuniambia hiyo 10% anayochangia mwajiri hainihusu? are you serious?
Kama hainihusu mbona hakuchangii wewe usiyemfanyia kazi? Ikumbukwe mwajiri kama simzalishii faida
akafirisika anaruhusiwa kufunga biashara na tukaachana,ndo maana tunapambana kuhakikisha
kazi zinafanyika kwa kiwano ili kampuni zipate faida tulipwe mishahara na marupurupu mengi ikiwemo hilo la 10%
ya mifuko ya hifadhi ya jamii,bima,WCF n.k

Kwa wenye upeo mdogo wa mawazo wanadhani mwajiriwa anapewa kama hisani,
kama ni hisani basi wangepewa wananchi wote kwa kigezo cha kuwa ni watanzania.
Kuna watu wachache,mnajisikia vibaya hata kuona housegirl wako anashiriki kula mkate
mezani kwako au kunywa chai unadhani ni hisani wakati ndiye kapika hiyo chai
na akiamua kukuwekea sumu,unaweza kufa wewe na familia yako yote kama panya.

Badilika
OVER
 
Lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kutatua majanga baada ya kustaafu all over the world.

Sasa kama sisi tanzania ni tofauti lalama utalipwa fao la kujitoa.

Otherwise kimbia nchi
 
Waasalam!

Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.

Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.

Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.

Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?

Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.

Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.

Shukrani.
Nakubaliana na wewe,mfano mimi ni aged
na nimeajiriwa ila katika maisha yangu sijawahi kuajiriwa na serikali.
lakini nimenufaika na fao hili la kujitoa kila nilipobadilisha ajira,kabla ya mfumo huu wa sasa
na matokeo yake nayaona nikiangalia nilipotoka na mahali nilipo.Kwa kweli anayebeza fao la kujitoa nawezasema
bila uoga kuwa ni mnufaika wa kifisadi wa mifuko hiyo,ndo maana hawataki fedha hiyo itoke.
mbona zamani tulipewa tukafanya mambo yetu na maisha yakaendelea?

Ok,tuseme wana uchungu na maisha ya wazee baada ya kustaafu wasijekosa kujikimu,
niulize swali,je wanafanya nini kuhusu wakulima ambao ni asilimia 80 ya wananchi wote
ili wakizeeka wasihangaike,au hao hawazeeki? Kama wanazeeka kwao inakuwaje? au nao wapo kwenye mifuko
ya hifadhi ya jamii?

Mimi ningeshauri,vijana waruhusiwe kunufaika na fao hilo kama itaonekana
wana uchungu na maisha yao ya baadae,wawashauri wakifikisha umri wa miaka 45
wafikilie kutojitoa tena ili kuweza kufikisha michango 180 pindi wafikishapo miaka 60 ya kustaafu
waingie kwenye scheme ya wastaafu.
Pili waweke vivutio,kama vile kukopesha wanachama nyumba,viwanja na kuwajengea
na waweke utaratibu kwamba ukishakopeshwa wewe unajisajiri kwenye mfumo wa kutohusika na fao la kujitoa.
Lakini kuwanyima kabisa fedha zao kwa vigezo kandamizi ni kuwaonea na kuwafanya wengi waliokazini wawe wezi
kwa kisingizio cha kutafuta mitaji ya kipato cha ziada.
Ikumbukwe unawezakuwa kazini na ukawa una kitu kingine kinakuingizia kipato maana siku zote mshahara hautoshi.
 
Waasalam!

Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.

Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.

Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.

Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?

Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.

Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.

Shukrani.
Mwenye email ya hangaya a forward huu uzi moja kwa Moja. Kwenye fao la kujitoa kumelala mitaji ya vijana wengi wa nchi hii ambayo ingefanyiwa kazi vijana wengi wangepata ajira.
 
Lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kutatua majanga baada ya kustaafu all over the world.

Sasa kama sisi tanzania ni tofauti lalama utalipwa fao la kujitoa.

Otherwise kimbia nchi
Vipi kuhusu wakulima ambao ni 80% ya watanzania wote
mnafanya nini kuhakikisha wana hifadhi ya uzeeni?
Watu hatulalamiki,tunanyoshea kidole mifumo kandamizi ibadilishwe.

Story za ''all over the world'',ni kodi zetu zinawapeleka huko nje ili mjifunze mambo ya maana mtuletee maendeleo
siyo kujifunza mifumo inayokandamiza peke yake,
Huko duniani,vipi miundombinu ikoje? Kuna wanaochangia visima vya maji na mifugo?
mbona hamuigi kuwapa fedha ya kupunguza ukali wa maisha wasio na ajira,tukajua mnaenda sambamba na ,mifumo ya duniani?
Au mnaona hilo la kutokuwa na fao la kujitoa peke yake ndo la kufanyia kazi?
 
Lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kutatua majanga baada ya kustaafu all over the world.

Sasa kama sisi tanzania ni tofauti lalama utalipwa fao la kujitoa.

Otherwise kimbia nchi
Mfano, mtu anafanya kazi ya Ulinzi au vibarua migodini na viwandani?

Kwahiyo, kwa AKILI zenu nzito huyo mtu atafanya kazi mpaka kufikisha miaka 60 ili muanze kumpa pension?

Kama pension Ni kitu muhimu hivyo, mbona hata hao wanaostahili tunaona wanahangaika tu kupata pesa zao?

Mbina wastafu hali zao Ni tete vile vile?
 
KUONDOKEWA MAFAO YA KUJITOA NI KWA MANUFAA YA WANACHAMA

Nimesoma yote yaliyoandikwa na wadau na kugundua kwamba wote hawafahamu DHANA YA HIFADHI YA JAMII. Kwa sisi tuliopiya IFM, ninvyema tukatoa elimu kidogo kwa ndani gu zetu ambao hawaelewi vizuri jambo hili. Kwa taarifa, dhana msingi ya Hifadhi ya Jamii ni:-

“Kumfanya mtu kuweka akiba kidogokidogo wakati ana uwezo wa kutengeneza mapato ili akiba hiyo imfae wakati atakapokuwa hana uwezo wa kuzalisha mapato”.

Kwa NSSF, Sheria inamtaka Mwanachama kuchangia 10% tu ya mshahara wake; na Sheria hiyo hiyo inamlazimisha Mwajiri kuchangia 10% ya ziada kukamilisha akiba ya Mwanachama huyo. Kwa maana nyingine, Mwanachama asingepata hiyo 10% ya Mwajiri bila ya Sheria hii.

Akiba hii inapaswa kuendelea kujaziwa kwa kipindi chote cha Mwanachama akiwa na uwezo wa kufanya kazi. Wakati mtu anapochangia 10% ya mshahara wake, anabaki na 90% ya mapato yake. Kudundiliza huku kutaendelea kwa kutumia waajiri mbalimbali atakaofanya nao kazi katika maisha yake.

Kama ni mjasiriamali mzuri, atatumia kiasi kingine kidogo kutoka 90% ili kudunduliza mtaki kwa muda fulani na kuanza biashara. Kama atashindwa kufanya hivyo hadi siku anakosa ajira ndiyo aanze kupambania 10% aliyokuwa anaweka ili aanzisjie biashara, huyo siyo mjasiriamali. Na uwezekano mkubwa ni kwamba hata akizipata hazitamfikisha mbali na itambidi atafute kazi tena ya kuajiriwa.

Sasa wakati akifikia utu uzima na uwezo wa kuchakarika kufanya kazi haupo, ndiyo sasa ataanza kupata pensheni ya kila mwezi hadi mauti yatakapomchukua. Kama aliwahi kuanzisha biashara na ikafanikiwa, maisha yake ya uzeeni yatakuwa mazuri. Kama hakuwahi kuanzisha biashara, basi atakuwa na uhakika wa kupata mahitaji yake muhimu.

Fursa za kuanzisha biashara ziko nyingi tu kwa wajasiriamali waziri. Tukumbuke Bilionea Reginald Mengi alianzisha IPP wakati yeye ni mwajiriwa wa PWC mpaka pale kampuni yake ya IPP ilipokuwa kubwa sana ndipo akaacha kazi. Unaweza ukachangia SACCOS au ikaweka fedha zako Benki na baadae ukachukua mkopo kuanzisha biashara. Kama haya yote huyawezi, kuwa na uhakika hata akiba yako ya NSSF ya 10% haitakusaidia kitu.

Kila mfumo umeanzishwa kwa makusudi yake na taratibu husika lazima zifuatwe. Kama kwa bahati mbaya makusudi haya hatyajui vizuri tuepuke kufanya kosa na kuongea bila elimu na kuanza kuwatukana watu matusi wasiyostahili.
Leo hii nimeona clip whatsap ya mh.mbunge msukuma ikisema "Mtu mnaongea anakuambia habari za masters,n.k mwisho wa mazungumzo anakuomba buku kumi...'' mwisho wa kunukuu
hivi watu wote wanaoshtakiwa kwa kutumia ofisi zao vibaya wote hawajaenda shule?
Kama wameenda shule,imewasaidiaje,mbona niwezi kuliko wasiosoma?
Hapa namaanisha,mliosoma msifikirie wasiosoma ni mbumbumbu,kiasi
kwamba unaweza kufanya yasiyofaa kwa kuwadanganya kwamba ni usomi wakakuelewa.

Sasa nikuulize,tulionufaika na fao hilo la kujitoa miaka hiyo ya nyuma,
inamaana waliokuwa wanaendesha mifuko hiyo hawakuwa na uelewa wa kutosha
wa kuendesha mifuko hiyo? kama jibu ni ndiyo,effect yake kwa sasa ni kiasi gani?
mbona tunaona wazee na watu wa makamo wana maisha mazuri,na sheria iliwaruhusu
wakachukua fedha zao pindi walipotaka.

Nimeishasema hapo juu,na niseme tena kuwa asilimia kumi
anayokuchangia mwajiri siyo hisani,sheria inamtaka afanye hivyo kama mimi
inavyonitaka nilipe PAYE na nisipolipa ni kosa kisheria.Na mimi kama mwajiriwa nina wajibu wa kutimiza ili anichangie hiyo 10%
nisipofanyakazi kiwanda kikafungwa hawezi kunichangia kutoka kwenye akiba yake binafsi.Sasa huu ujasiri wa kusema mwajiliwa fedha ya kwake ni 10% mnaupata wapi? Ndo maana nilimpongeza Magu alipomfukuza yule mama aliyekuwa anakomaa na hoja hii
Sijui kwanini mnaoitwa wasomi hamlioni hili?
 
Mfano, mtu anafanya kazi ya Ulinzi au vibarua migodini na viwandani?

Kwahiyo, kwa AKILI zenu nzito huyo mtu atafanya kazi mpaka kufikisha miaka 60 ili muanze kumpa pension?

Kama pension Ni kitu muhimu hivyo, mbona hata hao wanaostahili tunaona wanahangaika tu kupata pesa zao?

Mbina wastafu hali zao Ni tete vile vile?
Na hao waliofikisha hiyo miaka 60 wakifika ndo wanakwambia jina lako la ukoo lina upungufu wa herufi fulani
unakuta mtu anatembea mpako soli ya kiatu inaisha,wakati kila mwezi mshahara unaletwa kwa majina hayo hayo na hawaulizi wanasubiri ustaafu.
Jambo jingine hasa NSSF unakuta ukiomba statement unapewa unakuta mshimo kibao kama miezi sita n.k
unapewa form umpelekee mwajiri arekebishe,ukipeleka unakuta mwajiri karipa kwa uaminifu ila wao hawajazi.
Ukienda mwaka mwingine unakuta mashimo tena,
Ni kama kuna mchezo mchafu unafanyika,kama sio ni kwa nini unakuta karibia kampuni nzima wote hamjajaziwa,wakati mwajiri anapeleka makato inavyotakiwa?
Sasa fanya uzembe usiende kabisa ukisubiria hiyo miaka sitini ifike
ndo utaelewa ni kwa nini humu wanapiga kelele kuhakikisha fao la kujitoa halirudishwi.
 
Nadhani NSSF ni mojawapo ya shirika la umma lilijaa viazi na VILAZA kupindukia.

Wanachomaanisha Ni kulipana tu hiyo michango ya watu.
 
Uzi muhimu sana, watu wapewe chao wakafanye mambo mengine sio kubaki kwenye ajira na kubaki kujipendekeza kwa mabosi uchwara huko maofisini. Si kila mtu ni muumini wa kuajiriwa, ila mtaji ndio tatizo.
 
Nina jamaa yangu yuko anafia kitandani. Anaumwa sana na matibabu yake yanahitaji hela nyingi. Anapofanya kazi hakuna bima na ni miezi mitatu yuko kitandani kazini kwake wameshasitisha mshahara. Ameomba barua ya kuacha kazi amepewa. Amepeleka NSSF ili alipwe mafao yake eti wanamwambia mpaka atimize miaka sijua 55. Anawambia sina hata uhakik wa kuiona wiki ijayo naombeni mafao yangu yanifae sasa ili nipate matibabu nipone nianze upya lkn wamekataa. Niliumia sana yani jamaa anakufa na hela anayo alaf watarithi na kufaidika wengine.

Walioondoa fao la kujitoa laana hii iwafikie popote walipo
 
Waasalam!

Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.

Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+ huko, wengine tuna “entrepreneurial spirits” lakini mitaji ndio kikwazo na mifumo ya fedha ya nchi haiamini kuwekeza katika mawazo bunifu, ndio maana wengi tunakubali kuajiriwa kwa miaka 5 - 10 kwa ujira mdogo tuweze kuwekeza kwenye mafao yetu ili baada ya ajira tukaanzishe biashara zetu.

Lilipopitishwa suala la kuzuia fao la kujitoa “kibabe” pasipo kishirikisha wananchi, wengi tuliumia sana kwani mfumo huo unanyima vijana wenye mawazo ya kujiajiri nafasi ya kufanya hivyo na unawalizimisha kuajiriwa kwa maisha yao yote. Mfumo uliopo sasa hivi umetengeneza mwanya mkubwa sana wa rushwa ili mtu kupata hata hicho kiasi kidogo cha fao la kukosa ajira, kama hutoi rushwa utasugua sana soli NSSF na “maafisa” wanakuchora tu, mpaka unakata tamaa.

Tukilazimisha vijana wote kuajiriwa miaka 50+ pasipo kuwa na mbadala wa kufikiria kuanzisha biashara/kujiajiri ni kivipi tutaweza kuanzisha biashara mpya na kuongeza ajira zaidi nchini?

Ushauri wangu ni kurudisha uhuru wa fao la kujitoa ili kama kijana amechoka na ujira mdogo kibaruani, anaweza akajiajiri mwenyewe kwa kuwa tayari ana mtaji wa kuanzia.

Hoja ya kuwa vijana hawa wakizeeka watakua mzigo kwa serikali, inaweza kutazamwa upya kwa kuwndelea kuwawekea vijana hao waliojiri mazingira rafiki ya kuchangia mafao yao wakiwa kama wajasiriamali.

Shukrani.
Swadakta
 
Hakuna fao la kujitoa ktk mifuko ya hifadhi ya jamii duniani kote.
Mifuko hyo ni kwa ajili ya kumlinda mfanyakazi na majanga baada ya kustaafu ndo maana wewe unachangia only 10% ili hali mwajiri nae anaweka 10%.
Kama unataka kujiajiri jiwekezee 10% kwenye kibubu tuone kama utaweza kuwekeza baada ya miaka kumi.

Fao la kujitoa liliwekwa mwaka 1998 wakati wa ushindani kwenye kusaka wanachama kwa kua kulikua na mifuko 5,
Mwaka 2012 liliondolewa kina ZZK wakatetea likabaki kiaina ila ni kinyume na maana ya kuanzishwa mifuko hyo.na mwaka 2018 IRENE ISAKA alilifuta rasmi lakini mwendazake ktk kutafuta sifa akamfukuza kazi nanyi mkachekelea kizuzu.

Hakuna fao la kujitoaaa

Over

Please, fao kujitoa lirudi regardless nchi zingine zinafanya.
 
Wabadilishe jinsia afu vikojoleo uviweke usoni mamamamaae zao.

Ntakupa namba ya mtaalam wa hayo mambo, hapo Handeni sio mbali
Ila babu hapana kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana aisee[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom