GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
johnthebaptist tafadhali mshauri huyu mama wawili akanyonyeshe watoto aachane na haya mambo.
 
Ndio tunamkubali rais ila ww umezid kumsifia mpk unakera Wana chadema 🤣🤣🤣
 
Stupidity, kisa nini kujitoa akili namna hii?
 
Sema muuaji wako mpendwa. Huna mamlaka la kuwasemea wanadamu wengine wala kuwajumuisha kwenye hilo kapu lenu ninyi watekaji na wauaji.
Upo? Nikajua ulishakufa kwa msongo wa Mawazo?
 
Sema muuaji wako mpendwa. Huna mamlaka la kuwasemea wanadamu wengine wala kuwajumuisha kwenye hilo kapu lenu ninyi watekaji na wauaji.
Upo? Nikajua ulishakufa kwa msongo wa Mawazo?
 
Nyie ndio mnafanya mpaka watu wanakosa uvumilivu wanawatukana wewe na mama yako unayempigia debe kila siku.Wewe ni wa kwetu utabaki na sisi hakuna nafasi ya uteuzi utalamba.Tuko wote sana tu ndugu yangu hakuna mahali unaenda 🤣🤣🤣
 
Mbona mimi sijasikia hilo tetemeko au walau hata kimbunga huku nilipo.

Au lilikuwa tetemeko la uchawa ?
 
Huyu ni wa Mbozi, Lukas Mwashambwa,Dunia Hata haijui!
 
Nilisimika yai kwenye sahani ili ikitetemeka lianguke, bado masaa matatu siku iishe. Kila nikiliangalia liko wima. Silali mpaka nione.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…