Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,117
- 1,162
Jamaa amejimaliza
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais Samia.
Vyombo vyote vya Dunia vinakwenda kutekwa na Habari moja tu ,picha Moja tu ya Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kesho ndio kesho ,kesho ndio siku ya furaha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ,kiu ,shauku na hamu kubwa sana na mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kesho ni siku ambayo inakwenda kujiwekea historia yake ambayo itadumu kwa vizazi na vizazi hapa Nchini.
Dunia nzima inakwenda kutekwa na kutawaliwa na habari kuu moja kutoka kwa Jemedari wetu hodari Daktari wa kero za watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan. Msipange kukosa wala kuchelewa kukaa karibu na Tv zenu maana utajutia Maisha yako yote kukosa kuwa sehemu ya historia ya Taifa letu.View attachment 3436162View attachment 3436163
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Duuh,mambo hayo huwa hayataki kulazimisha.Ndugu zangu Watanzania,

Wewe ndiye Mjaa laana unayepaswa kuombewa na kutubuToeni ujinga hapa jamii forums. Tuko busy kusalia hii nchi na viongozi waliojaa laana.
Duuh,mambo hayo huwa hayataki kulazimisha.
Mtakatofu Augustino wa Aquinas aliwahi kusema: "Sauti ya watu wengi ni Sauti ya Mungu"
Mama naona amekataliwa na watu wengi nchini.Maana yake kakataliwa na Mungu.
Sio tuu atachukua fomu Bali ndio Rais Hadi 2030.Nonsense big bogus treat chief mangungo bogus treat
Kesho watu watabubujikwa machozi ya furaha.Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais Samia.
Vyombo vyote vya Dunia vinakwenda kutekwa na Habari moja tu ,picha Moja tu ya Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kesho ndio kesho ,kesho ndio siku ya furaha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ,kiu ,shauku na hamu kubwa sana na mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kesho ni siku ambayo inakwenda kujiwekea historia yake ambayo itadumu kwa vizazi na vizazi hapa Nchini.
Dunia nzima inakwenda kutekwa na kutawaliwa na habari kuu moja kutoka kwa Jemedari wetu hodari Daktari wa kero za watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan. Msipange kukosa wala kuchelewa kukaa karibu na Tv zenu maana utajutia Maisha yako yote kukosa kuwa sehemu ya historia ya Taifa letu.View attachment 3436162View attachment 3436163
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tena atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Sio tuu atachukua fomu Bali ndio Rais Hadi 2030.
Utatukana Hadi ujinyee na huna Cha kumfanya 😆😆😆😆😆
Kesho Taifa linakwenda kulipuka kwa shangwe , nderemo na vifijoKesho watu watabubujikwa machozi ya furaha.
Embu acha ujinga wako hapa weweLabda kutetemesha trako
Na watanzania wote.Amekufikia wewe na baba yako au
Huwa napuuza nyuzi zako ila hii nimeona niandike!Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais Samia.
Vyombo vyote vya Dunia vinakwenda kutekwa na Habari moja tu ,picha Moja tu ya Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kesho ndio kesho ,kesho ndio siku ya furaha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ,kiu ,shauku na hamu kubwa sana na mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kesho ni siku ambayo inakwenda kujiwekea historia yake ambayo itadumu kwa vizazi na vizazi hapa Nchini.
Dunia nzima inakwenda kutekwa na kutawaliwa na habari kuu moja kutoka kwa Jemedari wetu hodari Daktari wa kero za watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan. Msipange kukosa wala kuchelewa kukaa karibu na Tv zenu maana utajutia Maisha yako yote kukosa kuwa sehemu ya historia ya Taifa letu.View attachment 3436162View attachment 3436163
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu wengine mnapenda kutukanwa..Ndugu zangu Watanzania,

Wale wa kusombwa na malori. Mmejaza na wanafunzi wa primary kibao