Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,365
- 23,766
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais Samia.
Vyombo vyote vya Dunia vinakwenda kutekwa na Habari moja tu ,picha Moja tu ya Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kesho ndio kesho ,kesho ndio siku ya furaha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ,kiu ,shauku na hamu kubwa sana na mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kesho ni siku ambayo inakwenda kujiwekea historia yake ambayo itadumu kwa vizazi na vizazi hapa Nchini.
Dunia nzima inakwenda kutekwa na kutawaliwa na habari kuu moja kutoka kwa Jemedari wetu hodari Daktari wa kero za watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan. Msipange kukosa wala kuchelewa kukaa karibu na Tv zenu maana utajutia Maisha yako yote kukosa kuwa sehemu ya historia ya Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.