Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Anajua bado yeye ni secretary
 
Ukiona mtu anamsifia mama kama ww kuna mahala umedumbukiza mrija
 
Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Ebu acha ujinga na wewe, wewe unadhani Samia ana uchungu wa matumizi mabaya ya pesa za umma?

Akiwa aktia na tule tu maneno twake twa english basi mnahisi mna Rais wa kuwaogofya mafisadi. Aiseeh mtaliwa sana na sana hadi akili ziwakae sawa.
 
Sawa mkuu
 
Hana uchungu mwenye uchungu yule aliyepiga trillion 1.5 halafu CAG kusema hazina maelezo akamtimua na kazi badala ya kufanyia kazi
 
Kama hujui eneo analofanya vzur basi we ni kiazi
sabab anasema tulikuwa pabaya basi ilibidi afanye zaid ya aliyekuwa kiongoz kipind tupo pabaya badala yake rushwa imekithiri , uonevu umekithiri , watu hawapo responsible kweny ofisi zao
 
Hiyo midege muasisi wake ni nani acha tuanzie huko huko maana hakukuwa na nafasi kama hii ya kujadili mambo yake.
kwahiyo hakupaswa kufungua njia kwenye upande wa anga , Kuna muda nahisi tupo na zinjanthropus humu maana huez mlaumu Nyerere kupigania uhuru wetu wa kisiasa eti kisa leo ccm ina act kama mkolon , kila maamuz yanaeza kuja kukosewa baadae so huez acha njia ya mafanikio kisa vikwazo vyake , HUEZ KUWA NA MAENDELEO KAMA NJIA ZAKO ZA UCHUKUZ SIO BORA YAAN BADO WEWE NI TEGEMEZ KWA TAASIS ZA NJE , JPM MNAMCHUKIA LABDA KWAVILE ALIGUSA MAISHA YAKO ILA TAMBUA KOSA NI LAKO , HUEZ KUTOKUWA NA VYETI HALAFU UNANG'ANG'ANIA OFISI , UNA BIASHARA HALAF HUTAK KULIPA KODI
 
Ndio upeleke Vote 10 manunuzi eti?
 
Ndio upeleke Vote 10 manunuzi eti?
huez endelea kwa akili kama zako tuna safari ya mtu kuja kututoa uzinjanthropus huu , chuki inatutia ukipofu kwenye maswala muhimu
 
huez endelea kwa akili kama zako tuna safari ya mtu kuja kututoa uzinjanthropus huu , chuki inatutia ukipofu kwenye maswala muhimu
Hakufanya vibaya ila mnapomsema Mama na nyie mvumilie ngumi za pua.
 
Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Hivi wewe unajikutaga nani kutisha tisha wenzio?!
Kaa na uoga wako..
Acha majasiri waseme.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…