Suleiman mchawi WA Rhymes
JF-Expert Member
- Apr 24, 2022
- 405
- 1,012
- Thread starter
-
- #141
Umetoka kuwachamba walimu umeona haitoshi na sasa umehamia Kwa Samia. Anyway keep it up maana imeandikwa kila mtu atavuna anachokipanda
Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI

Atamfanya nini sasa zaidi ya kumwambia na yeye ampisheJiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Niliposoma heading tu nikacheka sana 😅😅😅. Duh hii kali ya mwaka !!Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Mimi ni mtanzania ninayempenda raisi wetu kwa moyo wangu wote. Hakika tawi haliwezi kushindana na shina. Ukombozi wa taifa hili ni wananchi waamue wenyewe au jeshi tuNdiyo wewe nini? Avatar imetulia
Jana wenje nini? Magufuli alikuwa muongo, mnafiki na jizi kubwa sana tofauti na wengine ni kwamba akitaka kuiba yeye na watoto wake pendwa tu lkn mwingine akithubutu atakiona cha mtema Kuni. 1.5 t zilikwenda wap?Wewe mpuuzi tu! Unaonesha hasira zako kwa Magufuli badala ya kuusema ukweli wa Samia! Mara kichaa wa Chato! You are very stupid tunajadili report ya CAG wewe unajificha kwenye kichaka cha Magufuli huku bibi yenu nchi imemshinda mnaanza kumshauri ujinga!
Hiyo mifumo unayozungumzia itajiendesha yenyewe?
Mfumo hata kama ni mzuri vipi bila watendaji ni zero!
Wewe kubali tu mama Samia hatoshi haswa usikimbilie ya Magufuli!
Hata Wenje jana kasema Magufuli alivyokuwa mtendaji na mfatiliaji wa mambo!
Wewe mpuuzi na majizi wenzako mnaanza kumshauri ujinga Rais!
Mtazamo wa walio wengi kwa tafiti gani iliyofanyika au uliyofanya?Na hii thread isifutweee! Waacheni watanzania watoe nyongo zao. Na huo ndio mtazamo wa walio wengi.
Njooni huku niliko mfanye utafiti.
Watu wamechokaaaa!
Gharama za bidhaa ziko juu, tozo, makato ya kodi za majengo zaidi ya mara moja kwa madai ya kujisahau.
Mfumo unakosea? Au ni watu wanakula fedha za umma kimasikhara? Watu wanakonda kwa kuwaza maisha magumu wao wanasafiri kwa VIP!
Ndugai kwa sababu alisema yule muuaji wenu atake asitake ataongezewa muda wa kutawala?Tatizo wabunge na wana CCM hawawezi kumwambia ukweli maana mfano waliuona kwa spika mstaafu Ndugai ila nikwambie watu wanajua madudu mengi!
Ndo maana akina Aweso wanaenda kuzurura Marekani maana nchi imefunguliwa!
Kwa hiyo tusiseme kuwa jizi lilipiga mapesa na majuha huku wanamtetea na kumwita shujaa?Tumeuanza mwaka wa 3 huu bado mna story zile zile...
haya mmesha recover how much so far au mlimzika nazo?
km zile mnasema yy ndo alipiga hizi za sasa nani kapiga?
Kisha akatangaza kuwa kama unaweza kumteua kwa nini ushindwe kumfukuza?Yule hajafukuzwa kazi ila muda wake wa kustaafu ulishafika
Maandiko matakatifu yanasema kila mamlaka inatoka Kwa Mungu hivyo twapaswa kutii na kuheshimu. Kwa misingi hiyo ni dhahiri kuwa wewe ndiye shetani kwakuwa unapingana na mamlaka iliyowekwa na Mungu.Shetani toka hapa ushindwe ushindwe na kutepweta
Kwaiyo atolewe kwa njia hiyo? Ila nafasi anayo akiwa tayari kufanya maamuziMimi ni mtanzania ninayempenda raisi wetu kwa moyo wangu wote. Hakika tawi haliwezi kushindana na shina. Ukombozi wa taifa hili ni wananchi waamue wenyewe au jeshi tu
Subutu ,raha zote za kile kiti , nimuachie nani , hili nalo mliangalie vizuri, na tuheshimiane, kamba haijakatikaTusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Kisha akatangaza kuwa kama unaweza kumteua kwa nini ushindwe kumfukuza?
Pili hatua gani akachukua kuhakikisha zinarudi na wahusika kuchukuliwa hatua kama yeye mwenyewe basi angewajibika kwa kujiuzulu.
JPM ni jizi na muuaji, period!!
Utakuwa na matatizo ya afya ya akili (mental disorder)Unateseka kweli kweli, angalia usipate heart attack
Una hakika mjinga sio wewe kweli?Utakuwa na matatizo ya afya ya akili (mental disorder)
Yaani kumwambia kweli mjinga nipate heart attack?
Kiini cha tatizo ndio kishughulikiwe (root cause)Tusichoshane!