Rais Samia kiukweli wewe ndio utupishe ung'atuke

Huwezi waskia wakiupin huu wizi wa sasa kwa mama...wanaona noma kumpimia mama kipimo kile kile walichompimia marehemu...wizi wote uliofanyika kipindi chake walisema ni wake...huu wa sasa sio tu kumpin nao mama hawawezi ht kuwapin wahusika wenyewe hawawezi...Unafiki tu unawasumbua..watafika jehanamu wamechoka sana.
 
Narudia Tena mfumo huu wa ccm ni mgumu sana ni WA wezi hasa wa taifa letu Wana mizizi iliyokomaa haswa, ikiwezekana mama ungana nao kula na wewe maana mtalindana tu na pia tatizo sio mfumo tu tatizo ni watanzania wenyewe, wamejaa ujinga, uoga, unafiki, kujipendekeza na ujuaji PIGA PESA MAMA siku watanzania wakiwa na akili watajikomboa wenyewe. Wakati mwingine kuwapigania wajinga na waoga ni kuji risk mwenyewe. Angalia watanzania wenzetu wa upinzani walivyoumia kwa kuwapigania wajinga. MUNGU NA NATURE ndio vitabadilisha haya.
Nakupenda sana raisi wangu Tena ikiwezekana Kausha usiuseme wizi wao.
Ahsante
 
Nakuunga mkono asilimia [emoji817] mama SI mjinga
 
Sukuma gang pumbavu sana wewe
 
Tofauti kubwa mama ni msanii tu kama kawaida ya waswahili. Mwendazake alikua anatumbua mtu yeye anaomba wampishe. Sasa wasipompisha inakuaje?🤣
Leo ya ngapi tangu awaombe kumpisha wajameni. Asifikiri tumesahau. Tunasubiria kuona kama tuko kituoni tunangojea daladala.😆😃
 
Ana mamlaka kamili ya kuwajibisha hao unaosema wanamnyima furaha
Kwanini hawawajibishi maana yake ni kwamba
Urais ni mkubwa kwake hauwezi


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wa kurekebisha haya maujinga ni wananchi wenyewe sio raisi aliyewekwa au kubarikiwa na huo huo mfumo wa majambazi unataka na mama kwa upekee wake na moyo wake wa kiungwana ajifanye mjuaji wa kushindana na mfumo wa wezi ulio muweka hapo Ili apotezwe kama lile kichaa la chato? Tena mama kama inakufaa usiwachukulie hatua yeyote hao wezi na mafisadi Ili watanzania waendelee kujionea ubovu wa mfumo unaotutawala
 
Na kibaya zaidi anajua kwamba hana hata robo ya uwezo wa kuwa rais na wananchi hawampendi katu lakini kang'ang'ania madaraka kama ruba na ngozi ama chawa na uchafu
Yaa ni nimshauri tu mama kama vp ang'ang'anie madaraka mpaka 2030 ndicho anachoweza ale vizuri na mfumo wetu wa wizi mpaka akili zitakapotukaa sawa kwa mfumo huu hata akija malaika ni eitha hatoweza kuubadili au atakubali kufa kijinga kama lile jiwe la chattle. Wa kuubadili mfumo huu ni sisi wananchi wenyewe kwa kuamua kweli kweli na Wala sio raisi Wala kiumbe Gani. Katika taifa hili wezi na mafisadi Wana nguvu kuliko serikali raisi ni mwanasesere tu.
 
Atupishe aje Nani nyie wasukuma genge?

Embu mwacheni mm achape kazi, nchi ilikuwa haauchi kunakucha mabalaa kila Kona,

Huyu kaokotwa kwenye kiroba, yule kapigwa risasi, Mara kabambikiwa kesi, kanyongwa, katobolewa macho, kadhulumiwa, sijui korosho, bureau de change yaani tafrani ilikuwa kila Kona

Ss hv hali shwaarrr halafu mnasema atupishe aje nani ss

Tuacheni tupumue jamani aagghh[emoji3061]
 
Mimi maswali yangu..Kwa kuwa ujambazi mwingi umefanyika halmashauri,swali je mawaziri wanaosimamia huko ni WA chama Gani ,wabunge huko ni wa chama Gani,madiwani huko ni wa chama Gani...Wakurugenzi wamiliki wa hela kwa mujibu wa katiba butu, ni wa chama Gani...."If you want to warn the hens not to go wandering on bushes, chase the Fox first " by Chinua Achebe from Mbaino village.

Sent from my E6810 using JamiiForums mobile app
 
Aise umemuelewa vibaya mh Rais Dr Samia alisema anashangazwa na over invoice iliyoletwa na siyo tayar pesa zilikwenda huko

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kauli hizi ndiyo anazinzia kidogo watu wanapiga...

Alishasema hapa alali, je siku akilala si wapigaji watapiga hadi magogoni?
 
Wanaofaidi udhaifu wake weanzisha kampeni nchi nzima ya kumpongeza. Wako bungeni, media karibu zote na mitaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…