Rais Samia: Kifo cha mzee Mwinyi ninachoweza kusema ni Maktaba yangu ya kuchota hekima na Maarifa imeungua!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,009
142,040
Akiongea kwa huzuni Rais Samia amesema Mzee Mwinyi alikuwa Mtu mwenye upendo na Ujasiri wa uwajibikaji na mara zote alipomtembelea aliweza kuchota hekima na Maarifa

" Ninachoweza kusema ni Maktaba yangu imeungua" amesema Rais Samia kwa masikitiko

Aidha Rais amewataka Mawaziri na Wanaccm wajifunze uwajibikaji kwa Hayati Mwinyi, ikiwemo Kujiuzulu kwa makosa yanayotendwa na walio chini yao

Source TBC
 
Back
Top Bottom