Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

Kiuweli ili uendelee kuheshimika na kuacha kumbukizi ya kutukuka, ni heri kustaafu wakati bado unapendwa kuliko kustaafu wakati watu wamekuchoka
 
Alikuwa Nyerere na akastaafu!viongozi watapita Tanzania itabaki
 
Mabeyo ni 65, I think..Ni hekima pia kupisha wengine! Mtoa mada ana hisia kweli baada ya kuona Harambee ya Ujenzi wa Parokia ya Mt.Michael pale Kawe, Vp? Hukumuona Major Rev.Fr.Dr.Henry Rumisho (PhD). Remisho aliyebuni mchoro wa jengo?
Kwa Mabeyo ni hekima kustaafu kwa miaka 65 ila kwa Kinana kurudi kazini akiwa na miaka 80 ni sawa! Haki ya Mungu sihami Tanzania!!!!!!!!
 
Kikwete atamshauri amuache astaafu halafu achague CDF muislam kutoka Zanzibar!! Hapo ndipo atakapoingia choo cha wanaume! Time will tell. SUMU HAIJARIBIWI MARA MBILI!

Rais wa kwanza wa nchi Julius Nyerere mwaka 1974 alimteua Jenerali Abdallah Twalipo Muislamu na mngoni kuwa mkuu wa majeshi na muislamu Jenerali Abdallah Twalipo alishika nafasi hiyo ya Ukuu wa majeshi kwa muda wa miaka sita muda sawa sawa na aliopata kushika mkuu wa majeshi mstaafu mwingine anaeenda kwa jina la Jenerali George Waitara (mstaafu)
 
Ni lazima astaafu wenyewe tunajua, na sio mbaya ni kanuni na sheria za jeshi, kama hathaminiwi pamoja na kufanya mazuri je?, hio ni nyongeza tu, ila muhimu mwamba apumzike, maana hizi kashfa za sasa ni aibu sana. Watz wapumbavu mnadiriki hadi kukosoa operation ya MKIRU ya Magaidi, mnataka kumwaga damu acha awachie mwage wenyewe na kikundi chenu halafu muone wapiganaji watakavo wapopoa Ikulu.
 
Yaani Askari ashafikisha miaka zaidi ya 66 unataka aendeleee, Kwamba hakuna Kamanda mwingine anayeweza kuchukua usukani
 
Kikwete atamshauri amuache astaafu halafu achague CDF muislam kutoka Zanzibar!! Hapo ndipo atakapoingia choo cha wanaume! Time will tell. SUMU HAIJARIBIWI MARA MBILI!
Una amini hakuna Muislam wa kuliongoza JESHI??
 
Tufuate sheria kama umri umefika ni muhimu akastaafu.

Hii tabia ya kuongeza muda wa kustaafu huku vijana wakiozea mitaani ni ujinga na upumbavu.

Tanzania ni kubwa na wapo wajeda kibao ambao wana sifa na uwezo wa kuongoza JWTZ.

Naunga mkono hoja Mabeyo aendelee ni mtu salama kwa Taifa na Mh Raisi

Hao vijana waliopo mtaani wana weledi Mkuu ? Jeshi sio mgambo linaitaji mtu makini kuliongoza
 
Hasistaafu au aongezewe mkataba kawa profesa wa sua, astafu kwa mujibu wa sheria, hawapishe na ndugu zetu,
 
Wazee wapumzike waingie vijana. Tatizo la ajira lililoikumba nchi ingefaa wazee kuanzia umri wa miaka 55 wapumzike wapishe wengine waingie.

Kama unampenda sana Mabeyo mshauri akachukue fomu aingie ulingoni na mama 2025. Hicho kitakua kipimo muhimu sana kama mtu wako unae mkubali anakubaliwa na watanzania kwa kiasi gani
 
Naunga mkono hoja Mabeyo aendelee ni mtu salama kwa Taifa na Mh Raisi

Hao vijana waliopo mtaani wana weledi Mkuu ? Jeshi sio mgambo linaitaji mtu makini kuliongoza
Kwahiyo huyo Mabeyo ndio yupo makinitu hamna wengine?

Wenzako walishasema atake asitake tutamuongezea. Aliyetaka kuongezewa na waliotaka kuongeza wote wakati uliwapiga kumbo. Wapi Ally Kesi,Ndugai nayule jamaa yao wa Kondoa waasisi wa atake asitake?
Wacha wakati utayaleta mabadiliko wenyewe
 
Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi asiyekubalika na Askari wake kuliko Mkuu yeyote aliyemtangulia baada ya 1964. Huo unafiki unaouona si utii kwake Bali unafiki wà kijeshi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…