Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,228
- 60,547
Ameeni😅😅😅😅
God bless Samia Suluhu Hassan
Ameeni😅😅😅😅
God bless Samia Suluhu Hassan
Whilst you’re doing the very similar 💩shit, unaendeleza your version of the story mtandaoni. Iendelee kuwa vague mpaka picha halisi itakapojulikana.Walidai hivyo waliotoka hadharani ila saizi ni mitandao.
Usiwe unadandia stori za mitandaoni.
Kumbe ni kweli kaenda kijijini kwao?Picha za leo hizo alipozungumza na mamiss na viongozi wa Kampuni ya Miss World Limited, Zanzibar. Mhe. Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.
aisee.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
😅😅😅😅
God bless Samia Suluhu Hassan
Si ajitoleze jaman au ajiuzulu tuMaana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Tembelea ukurasa wa ikulu Instagram utamuonaSi ajitoleze jaman au ajiuzulu tu
Ukurasa wa Ikulu sio directTembelea ukurasa wa ikulu Instagram utamuona
Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Dah, haters wanaumbukaje!! Hakika kama alivyowahi kusema Dr Janabi kuwa "haters wa Mama Samia Suluhu Hassan hatarini kujifungua kabla ya wakati".Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
View attachment 3412089
Wanachapa kazi na nini mbona wewe kutwa kumuomba lisuu mabaya shubamit wwNawe acha uchurk wa kusenge, Rais si alizindua DIRA 2050 tarehe 17.07.2025 ambayo ni juzi tu Alhamisi akiwa na bashasha? Mungu awasaidie tu mnaombea binadamu wenzenu mabaya kila siku utafikuri nyie ni wa milele. Hayo mabaya yatawapata ninyi si Rais wetu mpendwa, mambwa koko tu nyie. Kuharisha hicho imekuwa uzushi, kutaka kutengeneza taharuki isiyokuwepo. Bahati nzuri wanaopitia hii mitandao ni wachache sana, huku uraiani nchi imetulia watu wanachapa kazi km kawa. Mi napanda basi kila siku Km 60 kwenda na kurudi huwezi sikia watu wanajadili upuuzi wowote ulio ktk hii mitandao. Watu waliomo humu ni wa aina yake hawapo ktk uhalisia wapuuzwe. Rais wetu piga kazi km unaweza acha kufuatilia hii mitandao, hii ni artificial society, haipo kiuhalisia na hakuna mpiga kura huku. Taarifa sahihi ipo kwenye vyombo vya habari halisi km ITV, TBC, Star TV na vingine km hivyo. Mi mwenyewe nna mpango kuachana na hv vimitandao si vizuri kwa ht afya ya akili.
Mbona nchi imetulia zaidi kwa yeye, wala chawa wake kusumbua waTanzania?Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Wasome vizuri chawa wote waliomo humu JF; sasa hivi kila mmoja wao ni tumbo moto na kuharisha kusiko na ukomo. Wasome vizuri.Not this time. Samia right now is suffering from anger, anguish and depression. She is in total disbelief seeing even the closest friends are now spitting fire against her.
Mnachezewa vibaya sana na watu wa propaganda na wazushi,hivyo ndivyo Utawala unapenda Ili upate mda wa kujipanga.
Spinning ni gani pia
View: https://www.instagram.com/p/DMVDFqAqxho/?igsh=cWRmYjExNjRsaDFj
On contrary, nyumbu ndiyo mmezidi kupoteana.......Sasa hivi hamna nrne Wala tone tone, kimyaaaaa mmebaki kupambania ccm tu Sasa🤣🤣🤣🤣🤣Wasome vizuri chawa wote waliomo humu JF; sasa hivi kila mmoja wao ni tumbo moto na kuharisha kusiko na ukomo. Wasome vizuri.
Mimi Samia (Mama Abdul ) kesho nitakuwepo manzese uwanja wa fisi jioni nikijivinjari na mishkaki......njoo utapiga picha na Mimi.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha