😅 NashukuruWewe utakuwa na hamu sana ya kupewa likichwa likubwa, unalitaja sana
😅 NashukuruWewe utakuwa na hamu sana ya kupewa likichwa likubwa, unalitaja sana
😀😀😀 Ety mama yake na lukac ......jamaa akiona habar km hz za kumnanga mama yake anataman ale mtu kichwa 😀Muche Mama yake na Lucas Apunge upepo, Kwanza leo ni Weekend
Majizi na mafisadi wa Mali zacumma,mnawewesekaMaana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Utamuona tu hivi karibuni akiwa na orodha ya wagombea ubunge Nchi nzima na kupiga kupenga Cha mchakamchaka wa kampeni za uchaguzi Nchi nzima.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Picha za leo hizo alipozungumza na mamiss na viongozi wa Kampuni ya Miss World Limited, Zanzibar. Mhe. Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Hii Ilikuwa tarehe 16 sio leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
View attachment 3412089
Kama kweli yupo Kizimkazi basi kuna jambo halipo sawa... Tulitarajia awe Dodoma kama Mwenyekiti wa Chama katika Mchujo unaoendelea wa Wabunge, ambapo tumeambiwa wapo wengi na kazi ni ndefu itaendelea mpaka 28 July...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
View attachment 3412089
Nawe acha uchurk wa kusenge, Rais si alizindua DIRA 2050 tarehe 17.07.2025 ambayo ni juzi tu Alhamisi akiwa na bashasha? Mungu awasaidie tu mnaombea binadamu wenzenu mabaya kila siku utafikuri nyie ni wa milele. Hayo mabaya yatawapata ninyi si Rais wetu mpendwa, mambwa koko tu nyie. Kuharisha hicho imekuwa uzushi, kutaka kutengeneza taharuki isiyokuwepo. Bahati nzuri wanaopitia hii mitandao ni wachache sana, huku uraiani nchi imetulia watu wanachapa kazi km kawa. Mi napanda basi kila siku Km 60 kwenda na kurudi huwezi sikia watu wanajadili upuuzi wowote ulio ktk hii mitandao. Watu waliomo humu ni wa aina yake hawapo ktk uhalisia wapuuzwe. Rais wetu piga kazi km unaweza acha kufuatilia hii mitandao, hii ni artificial society, haipo kiuhalisia na hakuna mpiga kura huku. Taarifa sahihi ipo kwenye vyombo vya habari halisi km ITV, TBC, Star TV na vingine km hivyo. Mi mwenyewe nna mpango kuachana na hv vimitandao si vizuri kwa ht afya ya akili.Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha
Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza kuendelea tena kugombea, mara umepanda ndege ya abiria kurudi Zanzibar
Tunaomba ufanye hima ujitokeze tu pale Ubungo au Posta ununue muhindi wa kuchoma na kupiga picha kama alivyokuwa akifanya JPM
Amen😅😅😅😅
God bless Samia Suluhu Hassan
We mbwa koko ni km nani, huyo ni Rais wa Tanzania, we ni kibwengo tuAbaki huko aliko hapa bara hatumtaki
Kwani yupo?Unafki huo,kwani wamesema hayupo
Likichwa tu!
Kasusa Dom, anadai hamumpendi😳😳.Kumbe ni kweli alirudi Kizimkazi?
Walidai Jiwe yuko hai anachapa kazi ndiyo maana wanataka tu ajitokeze japo kiduchu ili roho zao zitulie then wamuulize kulikoni akaondoka na ndege ya raia kurudi taifa jirani la Zanzibar? Why avoiding the presidential jet?Uwe makini na stori za mitandaoni mambo Huwa haiko hivyo
Ndiyo sababu ya kuahirisha kikao?
Walidai hivyo waliotoka hadharani ila saizi ni mitandao.Walidai Jiwe yuko hai anachapa kazi ndiyo maana wanataka tu ajitokeze japo kiduchu ili roho zao zitulie then wamuulize kulikoni akaondoka na ndege ya raia kurudi taifa jirani la Zanzibar? Why avoiding the presidential jet?
Mwanamke ana uwezo wa ku digest hayo yote tofauti na mwanaume ambae angekuwa ameanguka kwa pressure au kajinyonga 😂😂Not this time. Samia right now is suffering from anger, anguish and depression. She is in total disbelief seeing even the closest friends are now spitting fire against her.
Unataka aende sokoni kaliako,Mama mzima anapiga kazi mitano tena,maana machawa wasije kufa na preshaMaana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha