Endelea kushupaza shingo Bwashee. Hata Dr. Bashiru Ally alikuwa hivyo.Kwanini Chadema hamuendi mahakamani kama mmedhulumiwa?
Haa😆😅😄😃😂😀Kwanini Chadema hamuendi mahakamani kama mmedhulumiwa?
HaruhusiwiHivi rais anaruhusiwa kuingilia maamuz ya bunge
Wanasubiri nini kuchagua wabunge "original"? Wanachama wengi hawajui lolote na viongozi wa juu kabisa wanajua nini kinaendelea. Clueless.Kwanini CHADEMA uwachagulie wabunge fake?
Walikwambia wanashinda na ubunge wa viti maalum?Wanasubiri nini kuchagua wabunge "original"? Wanachama wengi hawajui lolote na viongozi wa juu kabisa wanajua nini kinaendelea. Clueless.
So mnataka aingilie ili mseme amevunja katibaHaruhusiwi
Ila.....Inawezekana
Ukilaza wako unaanzia hapo kwenye 'Ufipa'.Ninavyojua Ufipa sasa hivi hakuna pesa ya kuwalipa wapambe, vipi wewe hadi utafutie wenzako kifo?
Shida yako habari unazotafuta kuzisoma na kuzisikia ni zile upendazo tuu.Yuko wapi?View attachment 1739643
Hapana ndugu yangu, nakuhakikishia utaiona tofauti kubwa kati ya jiwe (mfu) na mama. DJ kama angepiga muziki ule ule, Bashiru asingeguswa na wala Mulamula asingesogelea meza ya mlo.Magufuri a.k.a Jiwe kafufuka Leo kwa sura ya mwanamke , yaani DJ mpya muziki uleule .
Wewe ukishafakamia makange ya nguruwe na kushushia na K -Vant unajiropokea tu.Acha unafiki wee mwanasaccos, badala ya kumuuliza Mbowe kwanini kamati haitaki Kukutana ili itoe majibu ya rufaa Kama wamefukuzwa au hapana unakimbilia kwa watu wa CCM kwani ndo wanaoitisha hiyo kamati kuu ya Chadema?
Nyumbu hovyo kabisa.
Ina maana hao 19 wakitoka hawatakuwepo wengine 19 kuchukua nafasi hizo? Kama watakuwepo hiyo pesa hawatapewa? hebu acha chuki kwao!!Kama mbunge halali analipwa zaidi ya shilingi milioni 13.8 kwa mwezi basi wale wabunge 19 wa Ndugai ambao hawana chama chochote kilicho waidhinisha kuingia bungeni bali kwa ubabe na kiburi cha Ndugai huku akilindwa na marehemu Magufuli watakuwa wanalipwa takribani bilioni 3.4 kwa mwaka bila kuhesabu posho za vikao.
Pesa hizo za umma ni wizi mkubwa wa wazi kabisa ila wenye baraka za bunge na rais aliyepita. Je, nawe una bariki wizi kama huo? Au Utaufumbia macho kwa vile hao ni wabunge wanawake na kinachofanyika ni kuikomoa Chadema?
Angalia usiingie kwenye kapu la lawama kama za mtangulizi wako aliyekuwa na kiburi cha uzima.
Wizi huu unatofauti gani na watumishi hewa? Nguvu ya kukemea mengine utaipata wapi kama mengine utayafunika wakati kila mwenye akili anayaona?
Wewe sio yule!