Rais Samia, huu wizi wa Tsh Bil. 3.4 kwa Mwaka wa wabunge 19 utaufumbia macho?

Nimeshindwa kumalizia kusoma labda uniambie ulichoandika kama ww mwenyewe umeielewa.
 
1617204076908.png
 
Hivi rais anaruhusiwa kuingilia maamuz ya bunge
Mbona yule ambaye mnamuita "shujaa wa dunia" aliamuru bunge lisimlipie matibabu mbunge aliye shambulia akiwa kazini?
Au leo hilo hamkuliona kua lina athari?
 
Magufuri a.k.a Jiwe kafufuka Leo kwa sura ya mwanamke , yaani DJ mpya muziki uleule .
Hapana ndugu yangu, nakuhakikishia utaiona tofauti kubwa kati ya jiwe (mfu) na mama. DJ kama angepiga muziki ule ule, Bashiru asingeguswa na wala Mulamula asingesogelea meza ya mlo.
 
Hapo usitarajie jipya.Kama hata uundaji wa baraza kaanza kwenda kinyume na katiba, sijui
 
Acha unafiki wee mwanasaccos, badala ya kumuuliza Mbowe kwanini kamati haitaki Kukutana ili itoe majibu ya rufaa Kama wamefukuzwa au hapana unakimbilia kwa watu wa CCM kwani ndo wanaoitisha hiyo kamati kuu ya Chadema?
Nyumbu hovyo kabisa.
Wewe ukishafakamia makange ya nguruwe na kushushia na K -Vant unajiropokea tu.
 
Kama mbunge halali analipwa zaidi ya shilingi milioni 13.8 kwa mwezi basi wale wabunge 19 wa Ndugai ambao hawana chama chochote kilicho waidhinisha kuingia bungeni bali kwa ubabe na kiburi cha Ndugai huku akilindwa na marehemu Magufuli watakuwa wanalipwa takribani bilioni 3.4 kwa mwaka bila kuhesabu posho za vikao.

Pesa hizo za umma ni wizi mkubwa wa wazi kabisa ila wenye baraka za bunge na rais aliyepita. Je, nawe una bariki wizi kama huo? Au Utaufumbia macho kwa vile hao ni wabunge wanawake na kinachofanyika ni kuikomoa Chadema?

Angalia usiingie kwenye kapu la lawama kama za mtangulizi wako aliyekuwa na kiburi cha uzima.

Wizi huu unatofauti gani na watumishi hewa? Nguvu ya kukemea mengine utaipata wapi kama mengine utayafunika wakati kila mwenye akili anayaona?

Wewe sio yule!
Ina maana hao 19 wakitoka hawatakuwepo wengine 19 kuchukua nafasi hizo? Kama watakuwepo hiyo pesa hawatapewa? hebu acha chuki kwao!!
 
Back
Top Bottom