Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Huo wimbo wa haki kaanza lini kuuimba?Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.