Nikusaidie kucheka....hahahahahaaaafrom London to Maputo the New york🤣🤣🤣
Shida tupu..hawaelewekagi hawaMlisema Jiwe mshamba hasafiri. Mama mnalalamika anasafiri sana. Mitanganyika bana
Hawaelewi wanataka nini...Mlisema Jiwe mshamba hasafiri. Mama mnalalamika anasafiri sana. Mitanganyika bana
Kuendeleza logic za zisizo na fikra, mtoto akilia ameshiba anatakiwa aachwe njaa siku tatu.Hawaelewi wanataka nini...
Malalamiko jazz band
Ova
Wache waunge tu hata kama siyo kweliUNGA kaenda VP
Huko nako atapandishwa tena basi?Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko
Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui
USSR
View attachment 2363291
😅😅😅inawanyosha sana wale chawa wake.Safi Sana,CCM oyeeeeeeeeeeeeeee,CCM Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Analipiwa na shirika lililomuitaHapo hapo raisi wenu mstaafu yuko USA na entourage yake yote sijui hata kwa Wiki ngapi sasa!
Hoja ikikosekana lazima mtu aende na upepoWaliokuwa wanalalamika magufuli kutosafiri nje ya nchi ndio wanaolalamika Samia kusafiri nje ya nchi..
Kama vipi turuhusu wazungu waje kutatawala upya
theeee theee theeee theee....from London to Maputo the New york🤣🤣🤣
Lazima wajenge maana ikitokea mabadiliko wanaondolewa na kurudishwa ofisiniWale walinzi wasipo jenga kwa perdiem hizi ndani ya miaka 5 hii basi hawatojenga tena
Mi nakuuliza nawe waniuliza,usalama wa ile kimbinyiko waulize MI5 na GHCQKuna usalama gani kwenye ile Kimbinyiko aliyopanda?
Mazungimzo ya rais na rais ni mazito,isingekua hivyo wasingeingia gharama kwenda msumbiji..acheni ujuajiUsalama wa nini unless wanajadiliana UHUNI kama kawaida yao.
Analipiwa na shirika lililomuita
London walibaki bwenini ila huko kwemgine watatesa.Vip msafara wake huko maputo unamagari mangapi?Au amepanda tena basi?
Hicho kichwa cha habari kipo sawasawa au ni macho yangu 🤔
ahahahaha eti the New YorkHicho kichwa cha habari kipo sawasawa au ni macho yangu 🤔