TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,610
- 28,675
Asante kwa taarifa!Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko
Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui
USSR
View attachment 2363291