Rais Samia from London to Maputo then New York

Rais Samia from London to Maputo then New York

Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui


USSR
View attachment 2363291
Kwahiyo katoka Tanzania kwenda Londoni, kisha akageuza kuelekea Maputo Msumbiji, baada ya hapo anarajiwa kwenda New York Marekani?

Kama ndivyo basi sawa machozi ya Watanzania ndio gharama ya ufujaji
 
Huyu mama anaweza kuvunja rekodi ya JK.Hana uchungu wowote na tozooo...
 
Acha mh Rais wetu mpendwa aendelee kuimarisha Diplomasia yetu, Tanzania siyo kisiwa na hatuwezi tukakaa tukawa tumejifungia humu ndani pasipo kushirikiana na wenzetu, mh Rais wetu mpendwa anaendelea kutuheshimisha watanzania
 
Mwanamke mtu mzima kama yeye kiafya hashauriwi kusafiri sana.
 
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui


USSR
View attachment 2363291
Mpango hawezi kuwakilisha?
 
Mama atakuwa kachanganya madawa...arudi London aanze upya...
Kawaida ni inakuwa
London-Paris- New York.....
 
Viongozi wa nchi hakuna anayemfikia Julias kwabkusafiri,je zile safari zake zilikuwa na faida kwa nchi?
Safari moja tu ye nyerere iliyokuwa na faida kwa nchi, iliguta hasara zote zilizotokana na safari zake. Hivi huwa umatembelea magofu yaliyo salia kwenye uwekezaji enzi za nyerere kweli wewe?
 
Back
Top Bottom