Rais Samia from London to Maputo then New York

Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui

USSR
View attachment 2363291
Kwa viongozi aina hii nchi itabaki kuwa maskini milele
 
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui

USSR
View attachment 2363291
Tumebana matumizi bwashee
 
Mbona kuna taarifa nimeona anawakilishwa UNGA na makamu wa rais? Kama ni kweli mbona balaa. Tutakua na vasco da gama wa kike anaongoza nchi yetu😂🤣🤸💃🏃🏼‍♂️
 
Kyla baata kula bata, Yule mzalendo Mungu kamchukua, yeye alikuwa wa kipekee sana...lakini bado wabongonyoso wakamsema mno ati hajui ngeli ndo mana haendi, sasa wewe unajua ung'eeee kwa nini usile batafadaaaa kula kula...mkapa waelewe...pandika kila kitu juu...nimeshangaa mno kwa kutoa tozo so whaat? Mngeongeza zaidi mpaka tubaki mifupa....piga vya kutosha mpaka tuite maji mmaaa...mwenye nguvu ale asiye na nguvu na amejaa unafki akajijueeee....bradifaceniii.....pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haooooooooooooooooo
 
Mzalendo wakati alitia fora na kuvunja rekodi ya wizi kwa kuiba trillions za kutosha?

Nyinyi ni watu wa aina gani? Eti mzalendo, mzalendo my foot?!

Kammoon
 
Kama hujui kula raha shauri yako hii ndio ratiba ya mama yenu ,baada ya kutoka kumzika malikia pale London kwa kukaa siku nne leo amewasili Maputo msimbiji ambako atakuwa na ziara ya siku tatu kisha akahudhurie kikao cha wakuu wa nchi maarufu kama UNGA (united nations general assembly sio chini ya siku tano atakuwa huko

Ukipiga bajeti ya msafara mafuta, malazi, chakula utajua hujui

USSR
View attachment 2363291
CCM oyeeeee

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wananchi tutaanza kulilia safari na sisi.
 
Acha aendelee kutalii, huku madelu anakusanya tozo kwa kwenda mbele pesa ya mafuta siyo shida...
 
Viongozi wa nchi hakuna anayemfikia Julias kwabkusafiri,je zile safari zake zilikuwa na faida kwa nchi?
 
Back
Top Bottom