SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
tuliza kishundu hichoAcha utoto na ujinga wako hapa
tuliza kishundu hichoAcha utoto na ujinga wako hapa
Utapigwa ban sasa hivi.maana huna adabu dogo.tuliza kishundu hicho
Kuondoka lini?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.
Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.
Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .
Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chawa mwandamiziUtapigwa ban sasa hivi.maana huna adabu dogo.
Dunia ni kama kijiji tu unachoweza kukitembelea chote.Kuondoka lini?
Si Juzi tu alikuwa "hapa" mjini?
Hakuna ubaya kujua...Mkuu tunataka kujua ni kina nani wanaenda kuingia mikataba Kwa niaba yetu.
Kuna ubaya gani tukijua?!
[emoji2956]Unagharamia shilingi ngapi? Weka hapa ushahidi wa hizo gharama unazogharamia.
[emoji1787][emoji1787]Source; China Daily
Kaa kwa kutulia huko acha maswali ya kitotoHilo lidude lilikuwa kwenye safari zake za kawaida au ndio liko ziarani, linasubiri kikao kiishe then linachoma wese back to home.
Twabubujikwa na machozi kuona ndege tulionunua kwa pesa zetu bila kujali kelele za madebe ikimteremsha kipenzi cha watanzania nianianaaaaaaaaaaaaaaa jemedari Mama Samia Suluhu Hassani kazi iendeleee!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.
Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.
Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .
Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa sababu mafuta ndege yanauzwa ghali!Masuala ya Africa yanaenda kujadiliwa China! Kwanini wachina wasije kuyajadili hapahapa Africa kwenye uhalisia wa Africa!
Yaleyale ya DpW kwenda kuyajadili kwa Waarabu badala ya Kurasini ilipo bandari husika!
arudi asirudi potelea mbaliKama wewe hayakuhusu kaa pembeni.
Kwenda huko na ushetani wakoarudi asirudi potelea mbali
Mimi siyo shetani, nataka HAKI! WHERE IS SOKA ET AL?Kwenda huko na ushetani wako
ANALIA NINI? AU MUNGU KATENDA