Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,184
- 25,990
- Thread starter
- #21
Kama wewe hayakuhusu kaa pembeni.Ya kwako sisis yanatuhusu nini

Rais wetu mpendwa amekuwa gumzo huko maana sifa ya Uchapakazi wake unavuma kama upepo Duniani KwoteWachina wabubujikwa na machozi kumuona mpendwa wa watanzania
Hao watu unawataka wa nini?Andika habari kamili na inayojitosheleza.! Msafara unajumuisha watu wangapi?
Mimi ni mzalendo na siyo chawaUchawa tu hana uzalendo wowote
Rais Samia ndio Nuru ya Wanyonge na Tumaini kwa waliokata Tamaa.popote atuapo na kufika ni lazima watu wapate tabasamuWachina nchi nzima wazizima na kusimamisha kazi kumstaajabu rais wetu na Lucas Mwashambwa
Key IssueUnahangaika sana dogo.
ChawaMimi ni mzalendo na siyo chawa
Kwa hiyo kamusi ya BAKITA kuhusu UZALENDO imeelezea na uchawa kuwa ni uadui wa huo uzalendo?!!Uchawa tu hana uzalendo wowote
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]Andika habari kamili na inayojitosheleza.! Msafara unajumuisha watu wangapi?
[emoji1787]Ni jambo jema
Kwako Lucas Mwashambwa ,umpasie Tlaatlaah kisha nae ampe ChoiceVariable aweke kambani ili ubao usome
1-0
Wachina hawajabubujikwa kweli?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.
Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbala na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Tafa na kulipeleka anga za kimataifa.
Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Dugulile .View attachment 3085656
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Itabid tufanya mpango inununuliwe ndege ya raisNdugu zangu Watanzania,

Mimi nimesema Lucas Mwashambwa ni chawa hayo mengine ni ya kwako wewe.Kwa hiyo kamusi ya BAKITA kuhusu UZALENDO imeelezea na uchawa kuwa ni uadui wa huo uzalendo?!!
Wana furaha sana wachina baada ya kusikia Mama ametua Nchini Mwao.wanaona ni kama nuru katikati ya gizaWachina hawajabubujikwa kweli?
Hujitambui kabisa weweMimi nimesema Lucas Mwashambwa ni chawa hayo mengine ni ya kwako wewe.
Mkuu tunataka kujua ni kina nani wanaenda kuingia mikataba Kwa niaba yetu.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Idadi ya wasaidizi wa rais inakuhusu nini wewe na mimi muuza kahawa hapa Matema Kyela?!!
Nimejikuta nabubujikwa tu!Ndugu zangu Watanzania,