Rais Samia awasili Salama Salimini Beijing Nchini China

Rais Samia awasili Salama Salimini Beijing Nchini China

Unagharamia shilingi ngapi? Weka hapa ushahidi wa hizo gharama unazogharamia.
Wewe unataka iwe kiasi gani Ili niweze kuhoji?!
Ili mradi nino biashara halali ambayo Iko registered, na ninalipa Kodi TRA nina uhalali wa kuhoji.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.

Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.

Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .

Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Thread 'Tuutokomeze uchawa kwa kutoa elimu iliyo sahihi kuhusu siasa' Tuutokomeze uchawa kwa kutoa elimu iliyo sahihi kuhusu siasa
 
Umeanza kwa kuandika mazuri na ukamaliza na mazuri matupu [emoji2956]

Hakika ushawishi wa mh.Rais SSH ni mkubwa huko nje mfano wa Dr.Tulia kushinda urais wa uspika wa mabunge pamoja na Dr.Ndugulile kupata zile kura 25 kati ya 46.

Ni mafanikio makubwa na najivunia kuwa mtanzania [emoji2956][emoji2956]

FAIDA YA FILAMU YA ROYAL TOUR.

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Kwa sasa watanzania wanajisikia fahari sana kuwa watanzania
 
Back
Top Bottom