Rais Samia awasili Salama Salimini Beijing Nchini China

Masuala ya Africa yanaenda kujadiliwa China! Kwanini wachina wasije kuyajadili hapahapa Africa kwenye uhalisia wa Africa!
Yaleyale ya DpW kwenda kuyajadili kwa Waarabu badala ya Kurasini ilipo bandari husika!
James Brown aliimba hivi: Waafrika wote K....... mbuzi!
 
Unahangaika sana dogo.
Taarifa immaterial ana utoto mwingi sana mleta mada

Watu wanachosubiri ni taarifa material za ni kama nchi imepata toka hiyo safari hayo mambo ya kaondoka salama stand ya daladala na kafika salama standi ya basi ni uswahili na utoto uliokubuhu na kutupoteza muda humu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.

Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.

Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .

Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inamuhusu Wanu,Abduli,Mchengerwa na emeri
 
Anahangaishwa na uzalendo mkubwa kwa taifa lake.

#Nchi Kwanza[emoji2956]
Uzalendo au ujinga tu kaandika mleta mada

Kuwa ohh Raisi kafika salama kwani kulikuwa na tishio la maisha yake kuwa asifike salama?.

Uandishi wake una ujinga na maswali mengi

Ni mjinga fulani huyo mleta mada IQ yake iko chini sana

Hajui cha kuandika kwa vitu vya high level vya kiwango cha Raisi
 
Utakufa na chuki yako binafsi mwaka huu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.

Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.

Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .

Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jinga, vua chupi akuweke nyuma mpipi haraka. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.

Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.

Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .

Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa View attachment 3085656

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tunaomba ndege zetu zisitumike kusafirisha mihadarati nchi za nje.
 
Back
Top Bottom