Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Hongera sana madam chapa kazi
 
Vilevile wajaribu kuhakiki mtindo wa karibu kila wakati, serikali yote( viongozi) kuwa inatembea na Rais popote anapokwenda, hata kulazimika kuwa kwenye kila uapisho wa viongozi (refer kipindi cha mwendazake), na kuhakiki pros and cons za mwenendo uliokuwa umeanza kuzoeleka, based on interms of costs/tija even security wise etc.....ni ushauri tu na kazi iendelee...
..wapunguze idadi ya watu wanaokusanyika kumpokea Rais.
 
Mdau cement lori mbili zote za nini..

Lori moja linamtosha kuanza biashara yake maana lina mifuko 600
 
Asante sana Mh. Dr. JPM kwa kumuwezesha mama yetu anatuka na twiga wetu wenyewe🙏! Twiga hoyeee✊! RIP our Hero! You won't be forgotten Sir🙏!
 
Asante sana Mh. Dr. JPM kwa kumuwezesha mama yetu anatuka na twiga wetu wenyewe🙏! Twiga hoyeee✊! RIP our Hero! You won't be forgotten Sir🙏!
 
Hivi hujui kwamba kitendo cha Serikali kuhamia Dodoma imeathiri biashara ya kupangisha Dar?
 
Mbona hujasema wauza NGADA walijaa mtaani!!!
 
Vyovyote vile kazi iendelee. Mwezi huu mama anakabidhiwa rasmi uenyekiti wa CCM.
Mama kanyaga twende
Wametangaza tarehe ya mkutano? Afadhali mkutano ufanyike Dodoma, huku Dar WANGA wengi!
 
Daah kama hajanunua kagari aisee ataishia kupanda
Bolt
Jokate anasukuma ndinga kali miaka mingi mno, tokea kaduchu tu nakakuta Kino kwa wapemba pale kana bonge la Pick-up double cabin new model leo asiwe na matako ya nyani.
Lazima awe anacheza na mi vieitii, tena kazini akirudi nyumbani atakuwa ana mashine za kutosha tu zilizokolea pesa.
 
Anatakiwa kuhutubia bunge atoe mwelekeo wake....miaka yake 5 vipaumvele nini etc
 
... hivi huyu mheshimiwa home kwake ni Zenji sehemu gani? I mean her official domicile; her permanent home kama ilivyokuwa Chato kwa mheshimiwa aliyetangulia.
Kiembe samaki mkoa wa kaskazini unguja
 
Asante sana Mh. Dr. JPM kwa kumuwezesha mama yetu anatuka na twiga wetu wenyewe[emoji120]! Twiga hoyeee[emoji110]! RIP our Hero! You won't be forgotten Sir[emoji120]!
Ndege ya rais ilinunuliwa wakati wa mkapa,hata jk aliikuta,kipindi hicho waziri wa fedha alikua bazil pesambili mramba
 
Ndege ya rais ilinunuliwa wakati wa mkapa,hata jk aliikuta,kipindi hicho waziri wa fedha alikua bazil pesambili mramba
Ndege aliyotumia siyo GulfStream bali hiyo unaoona hapo ni Airbus 200! Gulfstream imeshakuwa mkoko, hala hata haionekani tena siku hizi kwenye safari za rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…