Hilo baadhi yetu tumelipigia kelele toka enzi za JK....wapunguze idadi ya watu wanaokusanyika kumpokea Rais.
Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tuMkuu mimi naangalia mzunguko wa hela ulivyo wakati wa JK na MEKO ndio nafanya comparison!
1.Wakati wa JK ukitangaza kuuza kiwanja haipiti wiki mbili ushakiuza ila kwa NGOSHA unaweza ukagonga hadi miezi 6 hakuna hata mtu wa kuuliza.
2. Waati wa JK ukijenga fremu hata kabla ya kumaliza upo kwenye foundation wafanyabiashara washakuja kuzibook zote na kulipia kodi ya mwaka mzima.
3. Enzi za JK nyumba sinza,mikocheni,mbezi beach ulikuwa hauwezi kupata maana zilikuwa full ila kwasasa mabango ya nyumba inapangishwa yapo kibao.
4.Enzi za JK ulikuwa hauwezi kukuta office for rent kwenye prime areas,ila sasa Majengo kibao yameandikwa office for rent,ina maana wafanyabisahra wengi wamekimbia na kuhamisha bizness zao sehemu nyingine na wengine wamefunga.
5.Enzi za JK Bar zilikuwa zinajaa watu wa kutosha ,supermarket ukienda watu kama wote unapanga foleni kibao kupata huduma,ukienda bank foleni ya mufa mtu ila sasa aibu.
Kwakifupi pesa imepungua kwenye mzunguko ,wewe shukuru kwamba upo kwenye chain ya wapigaji wa MEKO ambao walikuwa wanatumia fedha zao kukuunga mkono kwenye Hardware yako hiyo.
Sasha, nimeipenda hiyoMama kaingia Dodoma jioni hii Kimya² Kuna uwezekano wa watu kula kiapo ndani ya mwezi mtukufu Wa Ramadhani.
... hivi huyu mheshimiwa home kwake ni Zenji sehemu gani? I mean her official domicile; her permanent home kama ilivyokuwa Chato kwa mheshimiwa aliyetangulia.Makao makuu ya nchi! Ndipo ilipo ofisi yake!
Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tu
SASHA tamuuuuu kwelikweliSasha, nimeipenda hiyo
Hilo baadhi yetu tumelipigia kelele toka enzi za JK..
Ili umvamie? Tena inabidi waongezeke
Kama roho yakeSASHA tamuuuuu kwelikweli
Unapotaja majina mengine angalia muda wa kuyataja. Unaharibu uzi.Kweli JOHN Pombe Joseph Magufuli ametuacha kimwili tuu
Anatajwa kila dakika kila sekunde
Biashara zimeathirika sana esp kipindi cha covid. Una bahati sana mambo kwako yameendelea kwenda tu. Mshukuru sana MUNGU.Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tu
Basi huyo mama ajiandae kukabili makombora. Kama anamtaka sana amchukue akafanye kazi nyumbani kwao PembaUtasubiri Sana, sabaya yupo leo na hata kesho
SASHA! Duh, hapo umeniacha hoi! Unyumbulifu wa hali ya juu; take 5SASHA - SAMIA SULUHU HASSAN.
Mkuu maskini wapo wengi miaka na miaka, ni uongo kusema kipindi Cha jk pesa ilikuwepo wakati maskini walikuwa bado wengi Sana. Umaskini inatoka kwa kufanya kazi kwa bidii, hata aongozs malaika Kama hufanyi kazi kwa ubora na bidii hutakuwa tajiri, mfano mzuri Sasa hivi yupo mama Samia Sasa wewe endelea kulala ukitegemea mama samia atakufanya kuwa tajiri. Najua umenielewa, Ila Kama bado endelea kulalamaNimesema sijizungumzii mimi ,nazungumza kwa hali halisi ya mtaani ,wewe kupata pesa au mimi kupata pesa haimaanishi kwamba mzunguko wa pesa ni mzuri ,ndio maana nikasema wewe kupata pesa possible wanaokuunga mkono walikuwa kwenye channel ya MEKO ya upigaji.
Mimi nazungumzia mzunguko wa pesa na wewe unazungumzia kufanya biashara,mama SSH kasema mwenyewe kwamba hela mtaani hakuna ,yeye ana taarifa zote wewe unakuja huku na kuunza kuleta porojo zako.
unamtisha raisi? Yaani aache kufanya kazi zake akusikilize wewe mwehu? Kisa eti makombora?Basi huyo mama ajiandae kukabili makombora. Kama anamtaka sana amchukue akafanye kazi nyumbani kwao Pemba