King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,391
- 88,662
Inakuwa kama MEKO na yeye atapotea.Wakiparuana na kigogo ndio inakuwaje?
Inakuwa kama MEKO na yeye atapotea.Wakiparuana na kigogo ndio inakuwaje?
Kwanini apewe na si wengine??Nae si aligombea!
Mitumbuo kabla ya ijumaa...wakuu wa mikoa na wilaya wajiandae...Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).
Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Kwani uliambiwa urais ni kubeba zege? Watu wenye akili ndio mali ya rais na hao ndio wanampa ushauri jinsi gani ya kufanya na kuendeleza nchi,muache achague vichwa vyenye akili kwenda nae,tumpe muda hata mwezi hana mkuu ,hata mshahara wa rais hajachukua.
Mimi nasubiri baada ya siku 100. Ila mpaka sasa hivi, Mama bado! Tena anatakiwa kuwa makini sana na "wapambe" hasa wa mitandaoni.Kwani uliambiwa urais ni kubeba zege? Watu wenye akili ndio mali ya rais na hao ndio wanampa ushauri jinsi gani ya kufanya na kuendeleza nchi,muache achague vichwa vyenye akili kwenda nae,tumpe muda hata mwezi hana mkuu ,hata mshahara wa rais hajachukua.
Ila huyo mama hapo kulia kwake bhana....Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).
Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Daah kama hajanunua kagari aisee ataishia kupandaEeh watu kama hawa...kina jokate warudi mtaani tu waongoze vikundi vya jogingi
Wewe nilikuuliza kwa nini wawe wale wengine na siyo Rungwe ukanijibu kuwa si waligombea,lakini mimi nikikupa jibu hilo hilo naona inakuwa nongwa!!Hii ni sawa?Kwanini apewe na si wengine??
Toa sababu.
Leo yupo, lakini kesho simuoni!Utasubiri Sana, sabaya yupo leo na hata kesho
Serikali inajenga mazingira ya watu kufanya hizo kazi zao wapate faida! Nikupe mfano mdogo, kuna kauli ilisemekana “wakati wao wakijifungia ndani ninyi rimeneni muwauzie ghali!” Majuzi mahindi yetu yakakataliwa, yana sumukuvu! Hapo mimi mkulima nimefanya bidii, lakini mahindi yangu hayana soko! Alafu kuna viongozi wana kauli za kuudhi, eti “kama Wakenya hawataki mahindi yetu, tutengenezee vyakula vya mifugo!!”![]()





Nataka utoe sababu za kumchagua Ringwe na kuacha wengine ilihali wote waligombea na kura zao hazikutosha.Wewe nilikuuliza kwa nini wawe wale wengine na siyo Rungwe ukanijibu kuwa si waligombea,lakini mimi nikikupa jibu hilo hilo naona inakuwa nongwa!!Hii ni sawa?
Wewe hukunipa sababu ya wale uliowataja na kuwapendekeza,kwa nini mimi nikupe sababu ilihali wewe hukufanya hivyo?Unaelewa kuwa umewataja na kuwapendekeza akina Lissu bila ya kutoa sababu?Nataka utoe sababu za kumchagua Ringwe na kuacha wengine ilihali wote waligombea na kura zao hazikutosha.
Jamani!Wewe hukunipa sababu ya wale uliowataja na kuwapendekeza,kwa nini mimi nikupe sababu ilihali wewe hukufanya hivyo?Unaelewa kuwa umewataja na kuwapendekeza akina Lissu bila ya kutoa sababu?
Mkuu Wewe cheka tu Lakini mimi mkulima nikifikiria msoto nnaokua nao mwaka mzima, alafu mjuvi mmoja wa mambo anatuletea bei elekezi sijui kufunga mipaka, eti nchi isiwe na njaa! Alafu unamsikia Mtu eti waziri anasema mbaazi chakula kizuri cha Mifugo! Unatamani kumftatua DKR. Kileruu!
Kumuombea mabaya mtu hata kama kuna mambo hukubaliani naye!,Roho kusema Ole sabaya analambishwa mchanga,au
Si Dsm tu, hata Dom bado anaishi alipokuwa anaishi awali akiwa Makamo, bado Mtangulizi wake hajatolewa rasmi..,Hivi why Madam prezdaa akiwa Dar anakaa Oysterbay kwenye nyumba ya makamu wa Rais instead of ikulu?
Huyo mtoto wa mkuu wa wilaya wa zamani alisha pimaga siku nyingi sana, anasubiri tu na yeye kupimiwa! Alafu ana vijambazi vyake vinatembeaga na pingu, navyo kwenye vipimo vya mume wao watakulaa kilo kadhaa pia!Kumuombea mabaya mtu hata kama kuna mambo hukubaliani naye!,
Law of karma inatwambia "kwa kipimo kile kile tunachowapimia wenzetu nasi tutapimiwa hivyo hapa hapa duniani!
HakikaKama roho yake
SaitakuajeCCM wana laana za kudhulumu haki za watu.Hawana sifa ya kutoa Rais wa nchi!
Wewe ni mgeni hapa nchini?Kuna nini kafuata huko!??