Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Mkuu mgumu sana kuelewa tusijizungumzie sisi,tuangalie in general,umesoma ripoti ya umasikini? Unajua kwamba kipindi cha magufuli masikini wameongezeka? Yaani wa bongo bwana kuwa na kajimtaji ka hardware ka mil 30 unajiona unaingiza pesa na kuanza kuleta bla bla humu.

Unajua kwanini mzunguko wa pesa umeshuka na masikini kuongezeka kwa awamu ya JIWE?
Mimi nakueleza uhalisia ,hata kwa huyu mama Kama hufanyi Jambo kwa bidii na ubora hutapata pesa. Huu ni ukweli
Kuhusu mtaji wa hardware, sio kweli ni wa mil 30 hata kwenye kuanza sikuanza na hiyo
Ungezungumzia kuanzia 100+ ningekuelewa
  • cement tu Lori mbili ni zaidi ya mil 15
  • Bado nondo, bati, na takataka zingine zote
Na hivyo nilivyokutajia ni vikubwa tu
 
Nataka Hashim Rungwe awe Rais.
Alichaguliwa ila kura hazikutosha.
Subiri labda atagombea 2025,mjitokeze kupiga kura kwa wingi ili zitoshe.
Hiyo ndiyo demokrasia.

Sasa huyu mama amekuja na anafanya mnayoyataka bado wewe humtaki!
Mnataka nini jamani?
 
Mumeona Mama hangaiki na nyie mnaanza kujipendekeza pendekeza kwake, Sukuma Gang tulishawaambia Mam Samia ndiye Rais wa JMT, asiyependa ahame nchi.
Watabana mwisho wataachia na kusalimu amri
 
Uendelee kuwa na mama hivyo hivyo, hata akikutumbua, siyo urudi huku kulialia!

Una maana, mama anamlia timing? Haiwezekani uwe mkurugenzi wa maelezo halafu msemaji wa IKULU!!! Anatafutwa mwingine hapo pamoja na Director of protocol.
 
Uendelee kuwa na mama hivyo hivyo, hata akikutumbua, siyo urudi huku kulialia!
Huyo ni CHAWA wa BASHITE alijidai kuleta za kuleta tukampiga spana za kutosha sasa kakubali matokeo
 
Mama kaingia Dodoma jioni hii Kimya² Kuna uwezekano wa watu kula kiapo ndani ya mwezi mtukufu Wa Ramadhani.
Kwanza aanze na kumpiga chini Sabaya ili wana Arusha tushinde kwa Mromboo tukipiga mbuzi choma na castle light
 
Wale jamaa wenye mabegi ya hela naona bado wapo
 
Hii nayo ni taarifa? Msije kuwa kama ndugu zetu wakenya. Kila kitu anachofanta rais kwao ni habari. Utasikia, mutukufu rais Daniel Arap Moi leo amesali katika kanisa la kasarani. Yaani ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom