Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Ni matumaini yangu CDM 2025 mtamuunga mkono mama na hamtakuwa na haja ya kusimamisha mgombea maana mama anafanya Yale mnataka.Watabana mwisho wataachia na kusalimu amri
Ni matumaini yangu CDM 2025 mtamuunga mkono mama na hamtakuwa na haja ya kusimamisha mgombea maana mama anafanya Yale mnataka.Watabana mwisho wataachia na kusalimu amri
Mm nakuambia biashara hazikuwa nzuri ww unasema mambo ya kulalamika sijui njaa. Njaa wanapataga watu wasio na savings, asset na investment. Mm nakuambia biashara hazikua nzuri na huo ndo uhalisia kama zilikuwa nzuri kwako nimekwambia mshukuru MUNGU wako hayo mengine ni matatizo yako na ushabiki wa kisiasa. Huko sipo.Ngoja nikusaidie kulalamika maana watu mnahisi maisha yamesimama.
Biashara sio nzuri, Hali mbaya Sana, pesa hakuna, maisha magumu, raisi legeza, tunakufa njaa......
Ameenda na Mzee Hafidh au yupo peke yakeMama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).
Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
SijuiAmeenda na Mzee Hafidh au yupo peke yake
Nilitaka CCM wakiri kuwa wameshindwa kuongoza nchi na wampendekeze Hashim Rungwe aapishwe.Ulitaka nani aapishwe?
Wananchi kukosea kumchagua mtu siyo jambo la ajabu.Unaelewa kuwa wananchi wa ujerumani walimpigia kura nyingi sana Hitler kuwa waziri mkuu wao?Unaelewa ni kitu gani kilitokea baada ya Hitler kuwa waziri mkuu wa Ujerumani?Mnahangaika Sana lakini hakuna chochote mtakachopata...huyu mwenye matendo haya unayotaja ndie huyo wananchi asilimia 90 walikuwa wanamtaka..huyohuyooo
Kweli tupunguze muda wa kulala.Mkuu heshima kwako, Ila nakushauri ongeza bidii kwa kile unafanya. Serikali haitakuletea ugali mezani(ukweli mchungu)
Fanya kazi kwa bidii sana, kila siku buni vitu vipya punguza masaa ya kulala. Hizi kelele za humu kuwa pesa hakuna Wala usizitilie Sana maanani
Roho kusema Ole sabaya analambishwa mchanga,aukuna vitu huwezi kuvificha hata ukiwa nyuma ya keyboard...mkuu roho mbaya itakuua!
Nilitaka CCM wakiri kuwa wameshindwa kuongoza nchi na wampendekeze Hashim Rungwe aapishwe.





Ole sabaya byebye,utaki sikulazimishi,mama hataki viongozi majambazi kama OLEsMara Paaaaap anakabidhiwa Mkoa kabisa(RC). Sijui utapasuka nyongo
Kwa nini wawe hao wengine uliowataja?
Akili zako unazijua mwenyewe.
Kwahiyo wampe Rungwe ili atupelekee bahari Dodoma au siyo??
Kwanini Rungwe?
Kwanini asiwe Lisu,Sendiga ama Lipumba??
Hao wote si waligombea,kwanini awe Rungwe?
Nao si waligombea?Kwa nini wawe hao wengine uliowataja?
Nae si aligombea!Nao si waligombea?
Kwanini awe Rungwe!?
Mama bado hajaonesha kama kazi anaiweza. Msimtweze baadae mkaona aibu kumshusha. Narudia. Mimi ni MwanaCCM ila Mama bado hajafanya lolote!Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.
Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).
Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.
#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Mimi nakueleza uhalisia ,hata kwa huyu mama Kama hufanyi Jambo kwa bidii na ubora hutapata pesa. Huu ni ukweli
Kuhusu mtaji wa hardware, sio kweli ni wa mil 30 hata kwenye kuanza sikuanza na hiyo
Ungezungumzia kuanzia 100+ ningekuelewa
Na hivyo nilivyokutajia ni vikubwa tu
- cement tu Lori mbili ni zaidi ya mil 15
- Bado nondo, bati, na takataka zingine zote
Wakiparuana na kigogo ndio inakuwaje?Sawa Mkuu ,watu tunataka fedha kitaani ,akiendeleza madudu ya MEKO ataparuana na KIGOGO.
Mama bado hajaonesha kama kazi anaiweza. Msimtweze baadae mkaona aibu kumshusha. Narudia. Mimi ni MwanaCCM ila Mama bado hajafanya lolote!