Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Kuanzia sasa serikali iwe inagawa pesa mitaani kama free samples!

Too low ,hakuna serikali yeyote inayogawa pesa mtaani kama unavyotaka ku mock hapa ila serikali inafacilitate kuongeza mzunguko wa fedha mtaani mosi kwa kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara kufanya biashara sio TASK FORCE za kina BASHITE/MEKO kupora mali za wafanyabiashara ,kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi etc
 
Rais wetu tunampenda sana,
hivyo tunajali sana uwepo wake,
kama umakini na weledi wa ulinzi wake umeimarishwa basi mioyo yetu imetulia hakuna mashaka wala wasiwasi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi inaendelea............................
 
Saa hizi kila akitoka mnasema ila watu walipokua wakiuliza jiwe yuko wapi mnawakamata! Poleni MATAGA
 
Hii ndege anazungukannayo mkulu alafu CAG anakuja kutupanikisha
 
Mama Samia shujaa amefika Dodoma leo akitokea Dar, tayari kwa kutekeleza ile kauli mbiu ya kazi iendelee.

Pia kwa wale watu vizabizabina, Mama Samia hajipangii ulinzi anapangiwa(makomandoo wenye bunduki) na pia hajipangii red carpet anapangiwa(ziara za kiofisi).

Hizo ndio protocols, kwa hiyo muache kujifanya wajuaji.

#nipo na mama# kazi iendelee#
View attachment 1751002
Shujaa tena? Mbona pambio na vigelegele mapema sana! Kwani kwaya ishaundwa?
 
viva mama viva
safi sana naomba na wale jamaa warudi wa kina alihiaji
 
Eeh watu kama hawa...kina jokate warudi mtaani tu waongoze vikundi vya jogingi
Joketi sijui anafanya nini kisarawe mifugo inaibiwa kamati ya ulinzi kila siku wanatupiga kalenda tu, maoni tumepeleka ofisini kwake majibu mepesi kama unyoya basi wafugaji tumekosa amani kabisaaa, kanajua kenyewe kana fanya nini kule ofisini kupokea saluti tu.
 
Ndege aliyotumia siyo GulfStream bali hiyo unaoona hapo ni Airbus 200! Gulfstream imeshakuwa mkoko, hala hata haionekani tena siku hizi kwenye safari za rais!

Ndege zote za ATCL zipo chini ya ofisi ya rais, kama sikosei .
 
Back
Top Bottom