Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Kweli JOHN Pombe Joseph Magufuli ametuacha kimwili tuu
Anatajwa kila dakika kila sekunde
Mtu alietenda haya ataachaje kutajwa kila dakika na kila sekunde?:👇

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa.
 
Biashara zimeathirika sana esp kipindi cha covid. Una bahati sana mambo kwako yameendelea kwenda tu. Mshukuru sana MUNGU.
Biashara nayofanya inahusiana vipi na covid? Huu uongo wa kusingizia covid sijui kwa nini mnaupenda. Nina hardware,watu hawajaacha kujenga kisa Kuna covid hivyo materials yananunulika Kama kawaida tu. Tuache kujipa moyo
 
Sasa ni zamu ya ofisi za wilaya na mikoa kupekuliwa!! Kila la kheri Chalamila katika maisha mapya nje ya ofisi za serikali! Awamu ya sifa na kuabudu ilishafikia tamati, sasa tunakwenda na watu wenye wito wa kufanya kazi.
 
Chalamila atabaki
 
Biashara nayofanya inahusiana vipi na covid? Huu uongo wa kusingizia covid sijui kwa nini mnaupenda. Nina hardware,watu hawajaacha kujenga kisa Kuna covid hivyo materials yananunulika Kama kawaida tu. Tuache kujipa moyo
Aisee ww ulikuwa na tenda wapi kwenye hiyo hardware yako? Utakuwa una connection sana maana wengine hali haikuwa nzuri kwenye hiyo field ya ujenzi. Miradi mingi sana ilihamishwa kutoka sekta binafsi.
 
Mkuu maskini wapo wengi miaka na miaka, ni uongo kusema kipindi Cha jk pesa ilikuwepo wakati maskini walikuwa bado wengi Sana. Umaskini inatoka kwa kufanya kazi kwa bidii, hata aongozs malaika Kama hufanyi kazi kwa ubora na bidii hutakuwa tajiri, mfano mzuri Sasa hivi yupo mama Samia Sasa wewe endelea kulala ukitegemea mama samia atakufanya kuwa tajiri. Najua umenielewa, Ila Kama bado endelea kulalama

Mkuu mgumu sana kuelewa tusijizungumzie sisi,tuangalie in general,umesoma ripoti ya umasikini? Unajua kwamba kipindi cha magufuli masikini wameongezeka? Yaani wa bongo bwana kuwa na kajimtaji ka hardware ka mil 30 unajiona unaingiza pesa na kuanza kuleta bla bla humu.

Unajua kwanini mzunguko wa pesa umeshuka na masikini kuongezeka kwa awamu ya JIWE?
 
Aisee ww ulikuwa na tenda wapi kwenye hiyo hardware yako? Utakuwa una connection sana maana wengine hali haikuwa nzuri kwenye hiyo field ya ujenzi. Miradi mingi sana ilihamishwa kutoka sekta binafsi.
Ngoja nikusaidie kulalamika maana watu mnahisi maisha yamesimama.
Biashara sio nzuri, Hali mbaya Sana, pesa hakuna, maisha magumu, raisi legeza, tunakufa njaa......
 
Mtu alietenda haya ataachaje kutajwa kila dakika na kila sekunde?:👇

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa.
Mnahangaika Sana lakini hakuna chochote mtakachopata...huyu mwenye matendo haya unayotaja ndie huyo wananchi asilimia 90 walikuwa wanamtaka..huyohuyooo
 
Back
Top Bottom