residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Ukiwa mlevi,mara nyingi rafikizo wengi watakuwa walevi. Ukiwa mpenda kwenda bar,utakaokutana nao huko bar ndio utakaokuwa nao karibu.Watu dizaini ya Chalamila sijui mwendazake alikuwa anawatoa wapi aisee...!
Asilimia 120 wamejaa ccm huku mtapiga kelele were mruke vinyume lakini bajeti imesha pita hiyo hapo hakuna namna tenaMbuzi wa kafara. Wadanganyika kesho wanaamka na Agenda ya Charamila wanasahau Mambo ya bajeti na Kodi za 'Ovyo ovyo'
Kweli mkuu. Huyu naye enzi za mwendazake alikuwa kifutu.Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri
Hovyo kabisa mdomo wake umemponza hakuwa na cv yeyeto ya kuwa RC zaidi ya kumsifia tu magu.Kuna makabidhiano ya ofisi ivyo atapata wasaa.. Ila kumbe huyu jamaa juha kiasi hikiView attachment 1814888
alizidi uropokaji ulikuwa unadhihaki mamlaka! kuna siku alisema watu watafikiri Samia kamuua Mwendazake! Nikajua huyu hachukui muda alipokuja kusema wananchi waje na mabango ya matusi nikasema aisee! Zimefyatuka! maana maelekezo ya Mwenye nchi sasa yanadhihakiwa mubashara!Duh Chalamila kaliwa kichwa, pombe itanywekwa kweli? Haha
Taarifa njema hii!
Yaan kipind cha hayati tulipigwa pakubwa sana, kwa hawa viongozi tena wakawa well supported kbs 🤣🤣🤣
Hawa hawanaga stahiki. Ni kama wasichana wa kazi.hivi akitenguliwa anapewa stahiki zake zote
Bado hajateua wakuu wa wilaya hata hivyo nafasi yake kurudi ni ndogo mno kasesera ni bahati tu ilimdondokea kuwepo mpaka sasaNashangaa sana, mbona Mkuu wa Wilaya ya Iringa alipo ongea utumbo tena waziwasi hakutenguliwa?
Nahisi kitu hapa!
Bado hajateua wakuu wa wilaya hata hivyo nafasi yake kurudi ni ndogo mno kasesera ni bahati tu ilimdondokea kuwepo mpaka sasaNashangaa sana, mbona Mkuu wa Wilaya ya Iringa alipo ongea utumbo tena waziwasi hakutenguliwa?
Nahisi kitu hapa!
Alli Hapi ana dawa gani?Hatimae Yametimia Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Sana Bw.Albert Chalamila hatunae tena kwenye Orodha ya Wakuu wa Mikoa hii ASUBUHI Kwani Uteuzi wake UMETENGULIWA.Tunamshukuru MUNGU kwa Kusikia KILIO chetu Sisi WANA MBEYA
Samia ni Magufuli.Wakati watu wanapiga kelele kutaka baadhi ya watu waondolewe kwenye nafasi zao, Luna watu hudhani wanawaonea wivu ila kwa tukio hili la Chalamila, hata Mama mwenyewe atakuwa amejiunza kwa vitendo...