Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Watu dizaini ya Chalamila sijui mwendazake alikuwa anawatoa wapi aisee...!
Ukiwa mlevi,mara nyingi rafikizo wengi watakuwa walevi. Ukiwa mpenda kwenda bar,utakaokutana nao huko bar ndio utakaokuwa nao karibu.
Ukiwa mcha Mungu,rafikizo wengi watakuwa wacha Mungu. Ukiwa mpenda kwenda kanisani/msikitini,utakaokutana nao huko kanisani/msikitini ndio utakuwa nao karibu.
Ukiwa mgonjwa wa akili,utakuwa muhudhuriaji wa mara kwa mara pale "Taasisi ya Magonjwa" ya Akili karibu na gereza kuu la Isanga. Ukiwa muhudhuriaji wa mara kwa mara wa Mirembe,rafikizo wengi wa karibu watakuwa wana Mirembe wenzako.
 
Mbuzi wa kafara. Wadanganyika kesho wanaamka na Agenda ya Charamila wanasahau Mambo ya bajeti na Kodi za 'Ovyo ovyo'
Asilimia 120 wamejaa ccm huku mtapiga kelele were mruke vinyume lakini bajeti imesha pita hiyo hapo hakuna namna tena
 
Duh Chalamila kaliwa kichwa, pombe itanywekwa kweli? Haha
alizidi uropokaji ulikuwa unadhihaki mamlaka! kuna siku alisema watu watafikiri Samia kamuua Mwendazake! Nikajua huyu hachukui muda alipokuja kusema wananchi waje na mabango ya matusi nikasema aisee! Zimefyatuka! maana maelekezo ya Mwenye nchi sasa yanadhihakiwa mubashara!
 
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
 
Ni kweli Chalamila ...bongo ipo na shida wewe angalia hata Sura yake 🤭🤭🤭🤭
 
Tanzania inahitaji katiba mpya sasa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ili wananchi wenyewe wachague viongozi watakao wajibika moja kwa moja kwao.

Kwa utaratibu huu wa sasa hakuna kabisa vigezo vinavyoeleweka vinavyotumika ktk kufanya uteuzi wa hawa wanaitwa wakuu wa mikoa na wilaya na labda ndio maana unakuta ni watu wasio na weledi wowote kiuongozi.
 
Wakati watu wanapiga kelele kutaka baadhi ya watu waondolewe kwenye nafasi zao, kuna watu hudhani wanawaonea wivu, ila kwa tukio hili la Chalamila, hata Mama mwenyewe atakuwa amejiunza kwa vitendo.

Kwa msingi huo, namshukuru sana Chalamila kwa kuwa-prove wrong MATAGA na kuthibitisha usahihi wa waliokuwa wanasema kuwa hafai.

Mama pia anapata somo hapa kuwa anapaswa kupokea ushauri hata kama ni wa watu wa mitandaoni au ni wapinzani au wanaharakati.

Bado ataendelea kujionea kwa vitendo.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Wakati watu wanapiga kelele kutaka baadhi ya watu waondolewe kwenye nafasi zao, Luna watu hudhani wanawaonea wivu ila kwa tukio hili la Chalamila, hata Mama mwenyewe atakuwa amejiunza kwa vitendo...
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom