Hapa haupo sahihi na huo utakatifu atapewa na nani mkuu na swahiba wake Pengo au maana hata Mwalimu hajawa na hatokuwa daima3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu..
Hawa Wana uchungu ..
Mtoto wao hakumaliza miaka 10
Na inafahamika alivyowadekeza..
Samia ategemee waraka na matamko
Sasa wanaona haya Tu kum attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa
Mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza
Nimeipenda namba 3.Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya...ilifikia wakati
Alikuwa anaona kama mda WA kumaliza
Urais unachelewa.. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo
Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo...
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno
Kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua..na kujua namna ya Ku deal nao..
1.Viongozi wastaafu..
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k..
Hawa Wana makundi Yao na watoto wao..
Na Wana masilahi yao..
2. Team JPM
hawa wanajulikana ..
Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi
Kupungua lakini wana pose threat bado
Hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine..
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu..
Hawa Wana uchungu ..
Mtoto wao hakumaliza miaka 10
Na inafahamika alivyowadekeza..
Samia ategemee waraka na matamko
Sasa wanaona haya Tu kum attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa
Mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'..
4.wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe..hawa hasa hasa wanataka Tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu..
5.wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki..
Hapa kuna wanasiasa aina zote
Wenye maslahi yao binafsi Hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania...
6.Asasi za kiraia..NGOs
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu
Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao
Au hata taasisi za nje..na kibano cha JPM
Ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM..
Wengine ni matumbo Yao Tu ndo wanahangaikia..
7.Wasiotaka Muungano..
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika...Rais Mwinyi alikumbana na G-55...nusura wamgeuze Gorbachev..
Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao ..na fitina zao..
8.Wenye ndoto za Urais..
Hili kundi nalo limepigika vibaya ..
Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais..mradi waweke mazingira
Ya wao kuja kuchukua kiti
9.Makahaba wa siasa..
Siku hizi hili kundi linazidi kukua
Hawana agenda maalum
Wao popote upepo unapoelekea wapo..
Kimbelembele ndo sifa yao..
10.wabunge wenye 'mabwana wengine'
Wa kuwatumikia..
Hawa wanafahamika ..mama kazi anayo..
12.waandishi wa habari walionunuliwa..
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari..
13. 'manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao.. kupitia media
Au matamasha ya kiimani..
Tegeemea migomo.. maandamano
Na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi Tu hata mwaka usipite....
Bandiko bora kabisa. Limenifanya niikumbuke "Jamii Forums ya enzi zile" kabla ya ujio wa MATAGA. Excellent work, Mr Boss!Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya...ilifikia wakati
Alikuwa anaona kama mda WA kumaliza
Urais unachelewa.. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo
Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo...
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno
Kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua..na kujua namna ya Ku deal nao..
1.Viongozi wastaafu..
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k..
Hawa Wana makundi Yao na watoto wao..
Na Wana masilahi yao..
2. Team JPM
hawa wanajulikana ..
Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi
Kupungua lakini wana pose threat bado
Hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine..
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu..
Hawa Wana uchungu ..
Mtoto wao hakumaliza miaka 10
Na inafahamika alivyowadekeza..
Samia ategemee waraka na matamko
Sasa wanaona haya Tu kum attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa
Mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'..
4.wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe..hawa hasa hasa wanataka Tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu..
5.wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki..
Hapa kuna wanasiasa aina zote
Wenye maslahi yao binafsi Hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania...
6.Asasi za kiraia..NGOs
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu
Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao
Au hata taasisi za nje..na kibano cha JPM
Ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM..
Wengine ni matumbo Yao Tu ndo wanahangaikia..
7.Wasiotaka Muungano..
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika...Rais Mwinyi alikumbana na G-55...nusura wamgeuze Gorbachev..
Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao ..na fitina zao..
8.Wenye ndoto za Urais..
Hili kundi nalo limepigika vibaya ..
Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais..mradi waweke mazingira
Ya wao kuja kuchukua kiti
9.Makahaba wa siasa..
Siku hizi hili kundi linazidi kukua
Hawana agenda maalum
Wao popote upepo unapoelekea wapo..
Kimbelembele ndo sifa yao..
10.wabunge wenye 'mabwana wengine'
Wa kuwatumikia..
Hawa wanafahamika ..mama kazi anayo..
12.waandishi wa habari walionunuliwa..
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari..
13. 'manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao.. kupitia media
Au matamasha ya kiimani..
Tegeemea migomo.. maandamano
Na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi Tu hata mwaka usipite....
Sahihi mkuu, mpaka kutangazwa mtakatifu na Vatican pana vigezo vingi mno, na unaweza kuwa mtakatifu tu bila hata kutangazwa na hawa ni wengi tu hapa duniani waliofanya MEMA bila shaka yoyote.Hapa haupo sahihi na huo utakatifu atapewa na nani mkuu na swahiba wake Pengo au maana hata Mwalimu hajawa na hatokuwa daima
Straight kama huwezi uRais achiaMna hofu isiyo na msingi.
Nguvu ya nchi ni Rais ( Jeshi + Hazina )
Ukiona Rais amekuwa mstaarabu ujue ni maamuzi yake. Usifikiri Kikwete au Mkapa hawakuwa na uwezo wa kusema chukua bunduki kammalize Lissu au poreni chaguzi zote!!
Tatizo lenu mnataka Samia na yeye awe Magufuli No. 2 wakati Magu was a total mess.
Hao Team MAGU hawana mizizi, nguvu yao ilikuwa ni Dola na haipo tena. Wengi wao hata siasa za CCM majimboni hawataziweza.
Halafu unaposema eti maaskofu watamfanyia figisu, ni lini maaskofu walishawahi kunyamaza. Hukuwahi kuona mfulululizo wa nyaraka na ukosoaji mkubwa kutoka kwa maaskofu. Au wewe unadhani Askofu mkuu wa Jimbo DSM ndio maaskofu wote, au wakristo wote ukiachana na wachache. Hivi kuna watu walitulia tuli kama waislamu enzi za kwa Magu?
Tena hadi Makonda, maana kawahonga mnoo pesa.
Hao waliokuwa wananyenyekea Magu haikuwa sababu ya Ukatoliki wake baki nguvu ya mamlaka yake.
Kina warioba mnawaonea tu maana mtu kama Warioba sijawahi kuona akifanya figisu yoyote.
Ninachokiona labda mnatafuta defensive mechanism, akiboronga ionekane anafanyiwa figisu kwasababu ya Uzanzibar wake, Dini au mwanamke.
Kwasasa ngoja apange timu yake amalize ili asimlaumu mtu yeyote.
Urais hauko hivyo, kwamba unyamazishe kila mtu na akubali kunyamaza tuliii. Noooo.
Kama unajijua kuwa hupendwi kusemwa, kukosolewa, wala kuambiwa chochote ni bora usiwe Rais maana siyo lazima.
Watu wataongea tu hata nje ya nchi.
Good stuff.Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim' 'mkubwa Sana wa makundi haya...ilifikia wakati
Alikuwa anaona kama mda WA kumaliza
Urais unachelewa.. Rais akiwa mpole na muungwana na mstaarabu kama walivyo
Wazanzibari wengi anaweza kujikuta anachezeshwa ngoma na asijue nani mpigaji wa ngoma hiyo...
Yafuatayo ni makundi ya fitina hatari mno
Kwa Rais yeyote anapaswa kuyajua..na kujua namna ya Ku deal nao..
1.Viongozi wastaafu..
Hapa Mama Samia ana changamoto kubwa. Hata kama ana support ya Kikwete bado kuna Kina Mzee Warioba
Mzee Butiku Lowassa .Sumaye ..mizengo Pinda n.k..
Hawa Wana makundi Yao na watoto wao..
Na Wana masilahi yao..
2. Team JPM
hawa wanajulikana ..
Advantage ni kuwa ushawishi wao utazidi
Kupungua lakini wana pose threat bado
Hasa kama wataunganisha nguvu na makundi mengine..
3. Maaskofu na Baraza la Maaskofu..
Hawa Wana uchungu ..
Mtoto wao hakumaliza miaka 10
Na inafahamika alivyowadekeza..
Samia ategemee waraka na matamko
Sasa wanaona haya Tu kum attack waziwazi Kwa sababu ya ukimya waliompa
Mtoto wao ambae sitashangaa wakimtangaza 'Mtakatifu'..
4.wana CCM before JPM
Hawa ni wale waliozoea ule msemo CCM ina wenyewe..hawa hasa hasa wanataka Tu 'nafasi za kula' baada ya JPM kuwaweka pembeni mda mrefu..
5.wanasiasa wa upinzani hasa wale wanafiki..
Hapa kuna wanasiasa aina zote
Wenye maslahi yao binafsi Hadi wale wa kutumika na makundi mengine hapo juu
Usishangae kuona mwanasiasa wa upinzani akibeba ajenda za Lowasa au Sumaye kuzipigania...
6.Asasi za kiraia..NGOs
Hapa napo kuna watumikiao makundi mengine hapo juu
Kuna wanaotumikia taasisi za dini zao
Au hata taasisi za nje..na kibano cha JPM
Ndo kitawafanya now waamke Kwa nguvu kufidia hasara za miaka ya JPM..
Wengine ni matumbo Yao Tu ndo wanahangaikia..
7.Wasiotaka Muungano..
Hawa Kwa upande wa Zanzibar watakuwa kimyaa..now wataamka WA upande wa Tanganyika...Rais Mwinyi alikumbana na G-55...nusura wamgeuze Gorbachev..
Ili mradi Rais ni mzanzibari sasa utasikia kelele zao ..na fitina zao..
8.Wenye ndoto za Urais..
Hili kundi nalo limepigika vibaya ..
Litajitahidi mno kuchafuana na hata kumchafua Rais..mradi waweke mazingira
Ya wao kuja kuchukua kiti
9.Makahaba wa siasa..
Siku hizi hili kundi linazidi kukua
Hawana agenda maalum
Wao popote upepo unapoelekea wapo..
Kimbelembele ndo sifa yao..
10.wabunge wenye 'mabwana wengine'
Wa kuwatumikia..
Hawa wanafahamika ..mama kazi anayo..
12.waandishi wa habari walionunuliwa..
Katika hayo makundi baadhi yana waandishi wao na vyombo vyao vya habari..
13. 'manipulated crowds'
Hayo makundi baadhi hufanikiwa kuzalisha makundi ya watu wengi kusemea agenda zao.. kupitia media
Au matamasha ya kiimani..
Tegeemea migomo.. maandamano
Na makelele ya kila aina baada ya mda mfupi Tu hata mwaka usipite....
Umesahau like kundi inalodai mahakama ya kadhi,Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..

Mkuu upo?Good stuff.
Thanks for this.
P