Rais Samia atakuwa amejifunza mengi Marekani

Wanawake huwa tuko wepesi sana kuona kuwa tumezaraulika na kuaibishwa.

Hakika mama fedheha imemkuta.

Anatamani heri tu asingeenda huko.
 
Tatizo sio Kama hajui anajua sana ila tatizo la mfumo. Mama sio mgeni wa hizi nchi. Kulingana na ngome aliko hawezi kulifungua hilo fundo peke yake.

Nchi zingine vijana, wazee, vikundi, wafanyakazi na taasisi wanaandamana ili kufikisha ujumbe wao na wanasindikizwa huko barabarani na maaskari kwa mwendo wanaoelekezwa na njia wanazoelekewa mpaka wafike wanapotakakufikisha ujumbe wao na serikali inawasikiliza ujumbe wao.

Mama aombe msaada kwa taasisi zote nchini na Jeshi wamsaidie, ili Tanzania ipate katiba mpya. Ataweka historia ya kizazi na kizazi Kama mwanamke shujaa katika bara la Africa aliyetengeneza mfumo wa haki na kuunda nchi yenye mfumo wa viongozi sio watawala.

Kumbuka pia katiba mpya ikipatatikana ndo mwisho wa CCM
 
Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.

Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea.

Watu kushika mabango na kuimba nyimbo za kumuomba amwachie kiongozi wa upinzani mh Mbowe.

Mama atajua kuwa Tanzania siyo kisiwa kama alikuwa hajui sasa ataelewa.View attachment 1950276

Tatizo lao moja ni kama la huyu:

IMG_20210829_163746_049.jpg

Kwamba wasikie na masikio makavu?

Thubutu!
 
Wanawake huwa tuko wepesi sana kuona kuwa tumezaraulika na kuaibishwa.

Hakika mama fedheha imemkuta.

Anatamani heri tu asingeenda huko.
Sipati picha akirudi atawatazama vipi wale walio mdanganya kuwa mambo yamewekwa sawa pale usa
 
Yaani mpaka aone damu zinamtoka masikioni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si unaona hata mizengwe kwenye kesi ya ugaidi?

Hata jumatatu kutakuwa na mshike mshike huo huo wa kuzuia watu kuingia.

Hawawezi kujifunza.

Wako kama mbwa wazee. Hawawezi kujifunza majina mapya.
 
Ipo siku na hata kupitia kesi hii hii ya mh Mbowe kuna jambo litakuja kuwatokea tu
 
Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.

Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea.

Watu kushika mabango na kuimba nyimbo za kumuomba amwachie kiongozi wa upinzani mh Mbowe.

Mama atajua kuwa Tanzania siyo kisiwa kama alikuwa hajui sasa ataelewa.View attachment 1950276

Tuache unafiki huyu mdada ni Mtanzania sio mjamaika kama wengine wanavyosema. Ni vizuri kuruhusu mawazo tofauti hata kama hukubaliani nayo
 
Wengi wa wana ccm hawataki ukweli wao kila kitu ni kupotosha tu.
 
Mama aombe msaada kwa taasisi zote nchini na Jeshi wamsaidie, ili Tanzania ipate katiba mpya. Ataweka historia ya kizazi na kizazi Kama mwanamke shujaa katika bara la Africa aliyetengeneza mfumo wa haki na kuunda nchi yenye mfumo wa viongozi sio watawala
Hakika ataacha legacy si kwa Tanzania bali pia Africa yote juu ya uungwana na ujasiri wa mwanamke kuongoza
 
Tatizo sio Kama hajui anajua sana ila tatizo la mfumo. Mama sio mgeni wa hizi nchi. Kulingana na ngome aliko hawezi kulifungua hilo fundo peke yake.

Nchi zingine vijana, wazee, vikundi, wafanyakazi na taasisi wanaandamana ili kufikisha ujumbe wao na wanasindikizwa huko barabarani na maaskari kwa mwendo wanaoelekezwa na njia wanazoelekewa mpaka wafike wanapotakakufikisha ujumbe wao na serikali inawasikiliza ujumbe wao.

Mama aombe msaada kwa taasisi zote nchini na Jeshi wamsaidie, ili Tanzania ipate katiba mpya. Ataweka historia ya kizazi na kizazi Kama mwanamke shujaa katika bara la Africa aliyetengeneza mfumo wa haki na kuunda nchi yenye mfumo wa viongozi sio watawala.
Nakubaliana nawewe mkuu kwamba mama peke yake hawezi kulifungua hilo fundo

Kwa kuongezea tu, kuna kundi la watu fulani wachache wananguvu sana kwenye nchi hii na ambao ndio wanatoa ushauri kwa mama namna ya kuongoza nchi. Na sio watu wote wanakubaliana nao

Naamini kwa dhati kabisa kwamba kwa jinsi DPP Mwakitalu alivyokua mweledi na kazi yake kwanza asingekubali kesi hii iende mahakamani. Na hata wakati huu imeanza kusikilizwa angekua amesharusha taulo ulingoni siku nyingi kuifuta

Tatizo ni hilo kundi la hao wachache. Mungu Ajaalie Mh. Rais alione tatizo hilo yeye mwenyewe na Ampe ujasiri wa kuchukua hatua kwa kuteta na DDP amshauri kama kuna haja ya kuendelea na kesi husika. Naamini Mwakitalu akiulizwa na mama atamuomba amruhusu kuipiga chini
 
Back
Top Bottom