Rais Samia atakuwa amejifunza mengi Marekani

Wewe afadhali unyamaze hadi pale Rugemalira atakapo tuliza akili maana kwa sasa bado yupo moto
Wafuasi wa Chadema bana wanataka uhuru wa habari uwe wao peke yao kama huyu mateka wa Mbowe hataki mimi niongee.🤣
 
Na wewe unaelamba dushe ya Amsterdam je?
Naona upo kazini
Screenshot_20210309-134942.jpg
 
Wafuasi wa Chadema bana wanataka uhuru wa habari uwe wao peke yao kama huyu mateka wa Mbowe hataki mimi niongee.
Tutayafukua makaburi muda siyo mrefu alafu utahama jukwaaa
 
Wewe punguani kweli mimi nihame jukwaa kwa wewe mateka ww Mbowe hata mje laki wote nawapa bakora.

Waambie wale wapwaa wake Mbowe warudi Tanzania tu angalia walivyochoka
 
Hiyo safi sana ameupata ujumbe thorough and square, well and proper. Huwezi ukafanya mambo ya kipumbavu pumbavu eti dunia ikae tu kwenye fensi inakutizama.

She needs to come to her senses and institute the rule of law and learn to know that dictatorship never pays and it has painfully cost the life of her predecessor and she might be next in the firing line.
 
Kuna siku siri ya visandarusi itajulikana
 
Hiyo safi sana ameupata ujumbe thorough and square, well and proper. Huwezi ukafanya mambo ya kipumbavu pumbavu eti dunia ikae tu kwenye fensi inakutizama.

She needs to come to her senses and institute the rule of law and learn to know that dictatorship never pays and it has painfully cost the life of her predecessor and she might be next in the firing line.
Ujumbe umewafikia hasa wale machawa wanao fanya kazi ya kumpotosha
 
Back
Top Bottom