Wapuuzi hawa wanataka automatic visa extension.....Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.
Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea...
Tanzania sio Marekani,gaidi haachhiwi pumbavu nyie ndio maana kuna mahakamaKutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.
Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea...
Acha uboya...Mawazo yako ni muendelezo wa watawala wa ccm .
Kila mtu anayekuwa na mawazo tofauti au kila mtu anayeamua kudai haki yake kutoka kwa watawala basi huyo ni adui.
Gaidi lazima liisome namba...mama anaupiga mwingi sana kwenye kona hii...Ukiona mtu anatanguliza matusi kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili basi jua amefirisika kifedha na kisiasa na kiakili pia
Hatuna nafasi ya kuchekea mawakala wa mabeberu,haipoUkiona mtu anatanguliza matusi kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili basi jua amefirisika kifedha na kisiasa na kiakili pia
Angalia tena comments zangu wapi nimeita mtu mpumbavu?Tatizo lako naona una msongo mkuu wa akili.
Umetanguliza na kuwatukana kwa kuwaita wapumbavu
Hatupigi magoti tunahamasisha biashara,nyie ndio mmeolewa nao kabisa ref.Lissu,Lema at allMtawapigia magoti hadi yataota sugu na ingependeza wangewaambia kuwa muwe mnapiga magoti kwenye kokoto
Hatupigii mtu magoti tunasaka notiWakati huo huo mnawapigia magoti kuomba misaada ikiwemo chanjo ya corona