Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

542f5bec-45ac-41e3-9c06-26d717e03b5e.jpg

View attachment 1979938

Kama ndivyo anaogopa nini ushindani ulio huru, wa haki na wenye usawa?
 
"Worlds 500 most influential Muslims" hilo ni kundi la waislamu 500 duniani hakuna namba nani kakamata nafasi ipi.

Wale Taliban walioikomboa Afghanistan naamini kiongozi wao atakuwepo pia.
 
Back
Top Bottom