Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

Jeshi lake, serikali yake, pesa yake, kodi zake akishindwa pamoja na kua vyote hivyo basi ni hamnazo.
 
Yale maneno ya JK ya kwamba "hadi hali iwe mbaya sana" inafikirisha pia
 
Anaeamua matokeo ya mechi ni refa.
 
Una maana
Sio kazi ya raisi kuenda wilaya zote hata wazr wa elimu hajui shule zote samia yupo huwez kumshaur rais ujinga mshashindwa plan A BC sasa nao Mpo Z
gani kusema hivi
 
Siyo mabavu tu, nahisi hd hongo zilitembea kwa wapush agenda maana jambo la kitaifa haliwezi kuamriwa kwa namna ile. Mihemko ya hali juu ilitumika na si upembuzi yakinifu wa kusimika mtu wa kwenda kuliongoza taifa kwa miaka 5 ijayo.
 
Hahaa!! Unaingiza uislam na ukristu kwenye vtu serious, wakt wa kikwete nani alipiga kelele? Mwambieni akachukue fomu agombee hatutaki janja janja sisi na mstumie huruma ya dini kuficha uhalisia. Waislamu wenyewe pure hawaongozwi na mmama kama unabisha toa hata jina moja la kiongoz mkubwa aliwahi kutawala zenji hata kuwa makamu wa pili wa rais achilia mbali nchi za kiarabu.
 
Nasikia mara ya mwisho alionekana Nzega akinunua nyanya.
 
Sema humpendi. Mimi kama Mimi nampenda kuliko ujuavyo. So jisemee wewe na nafsi yako
 
Chadema ndo imekufa ila CCM haiwezi kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…