Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,913
Hadi hii hii tour na uzinduzi wa muvi uishe tutakua tumechoka sana. Kwa nini wasingefanya uzinduzi mmoja tuu Tanzania. Lakini imeanza kua kama mbio za mwenge.
Pemba hawapati mgao?Tumia akili kidogo, hizo fedha zinaleta maendeleo kwenye nchi, haendi nazo huko unakokuita Pemba wewe
Tatizo la Tz ni matumizi makubwa na ufisadiMwambie huyo Samia achape kazi sio kushinda kwenye makorido ya IFM na WB anaombaomba, hakuna Mtu au nchi iliyofanikiwa kwa kuombaomba, Tanzania tunazo rasilimali na ardhi ya kutosha, tukitumia akili na nguvu tulizojaliwa na mwenyezi Mungu tunatoboa.
Samia anataka kila kitu tufanyiwe na mzungu na mwekezaji, huku mwananchi akiwa mtazamaji, maana sioni akihamashisha wananchi kuchapa kazi kwa bidii na kujiletea mnaendeleo, yeye ni IFM na wawekezaji, wakati tokea enzi za Mkapa tunaimba wimbo huu wa wawekezaji lakini hatujawahi kutoboa.
Mazingira ya kupiga pesa mkuu yameandaliwa vizuri snHadi hii hii tour na uzinduzi wa muvi uishe tutakua tumechoka sana. Kwa nini wasingefanya uzinduzi mmoja tuu Tanzania. Lakini imeanza kua kama mbio za mwenge.
Ni upigaji wa pesa umeandaliwa, nimeenda Seregenti, Ngorongoro, Mikumi, Ruaha, Manyara, Tarangire sijaona kitu cha ajabu sn ambacho baada ya hii Royal Tour kitakuwa kipyaHivi mimi hii royo tua mbona siielewi!
Kwa hiyo ndio tunakuja kuonyeshwa sehemu zile zile ambazo tunashinda kila siku ili sasa tugeuke nasi tuwe watalii?
Au walimu wa jiografia hawakutufundisha vizuri juu ya maeneo ya nchi yetu hivyo hii itatusaidia vizuri kuyaelewa kwa kupitia 'huyu mwalimu' mpya?
Na je, hizo nchi zenye utalii mwingi nao walifanya haya haya kufikia walipofika?
Haya yananikumbusha 'big results now', 'kilimo kwanza' na 'viwanda milioni 2'. Hatuna dira kabisa
Kati ya hizo msafara wake umetumia kiasi gani? Walimu hufunga safari kwenda benki mjini kuchukua mshahara shs 300,00/= nauli, malazi na chakula, anarudi kijijini kwake na shs 220,000/= elfu themanini amegharamia nauli, chakula na malazi! Huyu hana naiti alawansi ila hawa wetu kumenona.Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13, 2022.
Miongoni Rais Samia ameongelea kukutana na IMF na benki ya dunia ambapo ameahidiwa fedha kama iliyoletwa na kupelekwa kwenye vituo vya afya, madarasa na mengineyo.
Rais Samia: Nimesahau moja, kwamba tulifanya pia mazungumzo na mashirika ya fedha ya kimataifa, benki ya dunia na shirika la fedha duniani nao pia mambo ni mazuri, tumekubaliana vizuri na fedha kama ile tuliyoleta na kupeleka kwenye vituo vya afya, madarasa na mengine, tunatarajia kuna nyingine itakuja ya aina ile iende kwenye maendeleo.
Brazil nasikia fukwe tu lkn zinawaingizia matilioni ya fedha hivyo ni bora hata tungeenda huko kujua wenzetu wanatumia mbinu gani sababu hata ss tuna fukwe nzuri sana na tunawaambiwa ni wa pili duniani na Brazili ikiongoza.Mm naamini nchi hii tuna mali nyingi sana lkn cjui tunafeli wapi?Hivi mimi hii royo tua mbona siielewi!
Kwa hiyo ndio tunakuja kuonyeshwa sehemu zile zile ambazo tunashinda kila siku ili sasa tugeuke nasi tuwe watalii?
Au walimu wa jiografia hawakutufundisha vizuri juu ya maeneo ya nchi yetu hivyo hii itatusaidia vizuri kuyaelewa kwa kupitia 'huyu mwalimu' mpya?
Na je, hizo nchi zenye utalii mwingi nao walifanya haya haya kufikia walipofika?
Haya yananikumbusha 'big results now', 'kilimo kwanza' na 'viwanda milioni 2'. Hatuna dira kabisa
Nchi kubwa, rasiliamali nyingi na watu wengi lakini (huenda - nasikitika kuandika hivi) tatizo ni akili kidogo.Brazil nasikia fukwe tu lkn zinawaingizia matilioni ya fedha hivyo ni bora hata tungeenda huko kujua wenzetu wanatumia mbinu gani sababu hata ss tuna fukwe nzuri sana na tunawaambiwa ni wa pili duniani na Brazili ikiongoza.Mm naamini nchi hii tuna mali nyingi sana lkn cjui tunafeli wapi?
Uzuri wanatupa bure...so what is the big deal?😂😂😂😂Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13, 2022.
Miongoni Rais Samia ameongelea kukutana na IMF na benki ya dunia ambapo ameahidiwa fedha kama iliyoletwa na kupelekwa kwenye vituo vya afya, madarasa na mengineyo.
Rais Samia: Nimesahau moja, kwamba tulifanya pia mazungumzo na mashirika ya fedha ya kimataifa, benki ya dunia na shirika la fedha duniani nao pia mambo ni mazuri, tumekubaliana vizuri na fedha kama ile tuliyoleta na kupeleka kwenye vituo vya afya, madarasa na mengine, tunatarajia kuna nyingine itakuja ya aina ile iende kwenye maendeleo.
Tunafeli kwenye akili zetu zisizochangamka. Tunafeli sababu ya ubinafsi wetu, bila kujari mali za umma na watanzania waliowengi, pindi tukipata madaraka. Tunafeli sababu work ethics yetu ni chini kabisa ya viwango.Brazil nasikia fukwe tu lkn zinawaingizia matilioni ya fedha hivyo ni bora hata tungeenda huko kujua wenzetu wanatumia mbinu gani sababu hata ss tuna fukwe nzuri sana na tunawaambiwa ni wa pili duniani na Brazili ikiongoza.Mm naamini nchi hii tuna mali nyingi sana lkn cjui tunafeli wapi?
We are a donor countryNimesahau moja, kwamba tulifanya pia mazungumzo na mashirika ya fedha ya kimataifa, benki ya dunia na shirika la fedha duniani nao pia mambo ni mazuri, tumekubaliana vizuri na fedha kama ile tuliyoleta na kupeleka kwenye vituo vya afya, madarasa na mengine, tunatarajia kuna nyingine itakuja ya aina ile iende kwenye maendeleo.