Ni wale waleRafiki yao huyo nae alikuja wakati wa sherehe za kuapishwa mwendazake, ndege wafananao huruka pamoja.
Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa
OkeyAlinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India
Alizikosa sana na sasa ni wakati wake kufanya utalii wa kimataifaMama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa
Ndiyo maana kaondoka kimya kimya anajua kuwa watanzania hawange furahishwaNi wale wale
Mkuu ccm haijabailika na haitabadilika bila kufurushwa kama KANU na UPCanaenda kujifunza nini kwa dikteta?
Nafikiri ni takwa la katiba yao pia walihitaji muda kupooza joto la kisiasa ingawa bado lipo sana.Kumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
Madege tulishayanunua tena kwa keeeeeshi.Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.
Yeah na tupo uchumi wa kati.Madege tulishayanunua tena kwa keeeeeshi.
Hapa nchini hayana kazi maana abiria hakuna sasa wacha angalau yapase moto injini.