fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,411
- 7,966
Kulikuwa na kesi mahakamani juu ya ushindi wakeKumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
Kulikuwa na kesi mahakamani juu ya ushindi wakeKumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
Mama ana matatizo siyo bure, kutwa kuzurura tu hata mumewe anayo kazi.
Ulitaka amkaimishe Kabudi?Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa.
Mpaka kufikia 2015 mwanzoni Mbatia alikuwa amezihesabu na zilifika zaidi ya 450.
Asiposafiri nongwa, akisafiri nongwa.Alizikosa sana na sasa ni wakati wake kufanya utalii wa kimataifa
Hii ya kwenda kukaa stadium masaa kadhaa kumshuhudia Dictator akiapishwa then kukwea pipa na kurudi Magogoni sidhani kama kuna faida zozote za kiuchumi tunapataKwa Mama hii ni ya Safari ya tatu. Tatizo tunahesabu Safari tukiwa na mtazamo hasi huwa hatuangalii faida zake.
Uganda kuna mambo ya mahakama, mgombea binafsi.Kumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
Kwahiyo hadi sasa ni VPMbona akiwa VP ndio alikuwa ana Safiri badala ya Yule Mwendazake aliyekuwa na Phobia ya Ndege.
Jiwe sio Kwamba alikuwa hapendi Kusafiri, alikuwa na Plane phobia, ndio akawa anazuga kuwa eti yeye ni Mzalendo, Hasafiri kupunguza Gharama, wakati Safari zake za Ndani zenye Msafara wa V8 zaidi ya 70 Gharama yake ni Sawa sawa na Safari.50 za JK a.k.a Vasco Dagama
Mmh, acha basi babu ka vasco dagama!Tayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.
Kazi iendelee
Rahisi sana kuandika kama ulivyoandika. Alipofariki JPM marais wa nchi jirani walikuja na kuwepo uwanjani pale Dodoma kwa saa chache na kurudi kwao.Hii ya kwenda kukaa stadium masaa kadhaa kumshuhudia Dictator akiapishwa then kukwea pipa na kurudi Magogoni sidhani kama kuna faida zozote za kiuchumi tunapata
Angetumwa tu mtu akapabda commercial plane. Even better tungeagiza Balozi wetu aende pale.
Kwa umakini mkubwa tunatunza hesabu na hajafikisha hata miezi miwiliDah...hizi Safari mnaandika lakini? Maana za JK tulizihesabu
Hizi pointi za kumsimanga rais kisa eti maji ya tope ni utoto fulani wenye kuchekesha. Huko anakokwenda nje pengine lipo suluhisho la hayo maji machafu.Mama mbona hatulii kabisa ofisini hizo per diem watu wanajitafunia tu burebure ili hali kuna wananchi masakini huko dodoma wanakunywa maji yenye tope.
Hakika JPM ataendelea kuishi mioyoni mwa watanzania mengi.
Ujinga huu ukiendelea tutarudi nyuma hatua tatu ndo maana tutamkumbuka Sana mwendazke kwani mambo Kama hata alikuwa hayataki kabisaMama, mamaa, ma huyoo mamaaaaa ruka tu na hilo lidreamliner mpk watujue sisi nani.
Asante sana Swaumu kazi inaendelea
Kwani hapo kuna aliye mlaumu?Asiposafiri nongwa, akisafiri nongwa.
Jiwe alikuwa analazimika kumwachia yeye aende mama alikuwa anaogopa kupanda ndege sababu ya hali ya afya yake.Mbona jiwe alikuwa anamtuma yeye kumwakilisha? Hadi UN alikuwa anaenda yeye. Ajabu sasa kawa Rais hataki kutuma wenzake. Ziara zote anakaba.
Kaondoka kimya kimya halafu wewe umejuwaje?Ndiyo maana kaondoka kimya kimya anajua kuwa watanzania hawange furahishwa