Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,925
- 95,203
Umeonaeee wakati uchumi wetu unakua kwa 4.7%Yeah na tupo uchumi wa kati
Umeonaeee wakati uchumi wetu unakua kwa 4.7%Yeah na tupo uchumi wa kati
Vasco alizidiTayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.
Kazi iendelee
Sasa sijui jema ni kipi kwa wa Tz, yule alikuwa hataki kabisa kusafiri mkamuona mbaya sana, Sasa huyu ananitumia vzr fursa ya kusafiri nako mnalalamika,Tayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.
Kazi iendelee
Huyu mama inaonyesha ni kiongozi asiye na msimamo,asiyeeleweka na hajui anataka nini. Yajayo yanafurahishaRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoeri Kaguta Mseven.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa ujeruman Mama Mikel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
Muacheni mama ajenge ujirani mwema,Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa
Hiyo mbegu tunaambiwa sasahivi inapatikana hata hapo DRC.Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India
Tayari zimefika tatu na kuna dalili anaweza kumpita Vasco Dagama.
Kazi iendelee
Mbona akiwa VP ndio alikuwa ana Safiri badala ya Yule Mwendazake aliyekuwa na Phobia ya Ndege.
Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa
Sasa sijui jema ni kipi kwa wa Tz, yule alikuwa hataki kabisa kusafiri mkamuona mbaya sana, Sasa huyu ananitumia vzr fursa ya kusafiri nako mnalalamika,
Hadi mapingamizi yalioko mahakamani waridhiane .ila tangu juzi bob wine kazingirwa nyumbani kwakeKumbe Yoweri alikuwa hajaapishwa? Mbona imechukua muda mrefu sana?
Mbona jiwe alikuwa anamtuma yeye kumwakilisha? Hadi UN alikuwa anaenda yeye. Ajabu sasa kawa Rais hataki kutuma wenzake. Ziara zote anakaba.Alizikosa sana na sasa ni wakati wake kufanya utalii wa kimataifa
Haendi kujifunza,anaenda kuhudhuria raus anaapishwa,kumbuka kuwa tupo wote jumuiya ya afrika masharikiAnaenda kujifunza nini kwa dikteta?