GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye AKIWAPENDA na kudhani WANAMSAIDIA hasa Kiufanisi na kwa Watanzania.
Hakuna BINADAMU anayefanikiwa au anayejua mapungufu yake iwe KIUTENDAJI au KIMAISHA kama ama hapendi au hakubali KUKOSOLEWA na kwa Sisi wenye IMANI na kidogo mambo ya SAIKOLOJIA tumeyapitia tunaamini kuwa ukiona UNAKOSOLEWA JUA UNAPENDWA na UNATAKIWA MEMA na ukiona kila mara tu UNASIFIWA HADI WATU KUKUFURU kwa Mwenyezi Mungu jua WANAKUSANIFU, HAWAKUPENDI, HAWAKUTAKII MEMA na kwamba ANGUKO LAKO wala HALIKO MBALI nawe.
Hata Mimi GENTAMYCINE ninaeandika hapa NAKUPENDA MNO kama siyo SANA na ndiyo maana unaona huwa NAKUKOSOA na pale nikiona umepatia NAKUSIFIA ila nasikitika kuwa nami pia umeniweka katika Kundi la Watu (Keyboard Warriors) unaowaona ni ADUI KWAKO MITANDAONI (hasa hapa JamiiForums)
Mheshimiwa Rais Samia kama kuna UTAJIRI MKUBWA ambao Mwanao Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimepewa na Mwenyezi Mungu ni wa KUONA MBALI, KUSHAURI VYEMA na AKILI na sishangai ndiyo maana hata KIASILI nikawa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" katika Maisha yangu.
Ushauri wangu mkubwa Kwako ni kwamba penda KUKOSOLEWA, JITATHMINI, SAMEHE WALIOKUKWAZA hasa KISIASA, SHIRIKIANA NA WALE ULIODANGANYWA NI MAADUI ZAKO kwa MASLAHI YA MAMA TANZANIA na KATAA KABISA kuwa chini ya MACHAWA ambao 24/7 WANAKUHARIBIA bila ya Wewe kujua.
Ukijirekebisha nina uhakika wa 100% unaweza kuja kuwa Rais bora kabisa Mwanamama kuwahi kutokea katika Bara la Afrika na pengine hata Duniani.
Naomba Mzanaki, Myao na Mtutsi Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niishie hapa ila niseme tu kwa Jicho langu HATARI la NDEGE TAI naona kuna TATIZO KUBWA mahala kwa Tanzania yangu hivyo waite WASAIDIZI WAKO wakufafanulie vizuri japo nina wasiwasi kutokana na UCHAWA WAO na kutotaka kupoteza NAFASI ZAO ukikutana nao watakuambia Mama kila kitu kipo vizuri achana na huyo Mpuuzi GENTAMYCINE na hao 'Keyboard Warriors' wengine JamiiForums kwani wana WIVU na CHUKI nawe halafu ni WAPINZANI kutoka CHADEMA.
Uwe na Jumatano Njema Mh. Rais Samia.