Mtateseka sana,mama yetu anarudisha nchikwenye mstari mnyoofu.Bado anakumbana na changamoto za wateule wa Mwenezake ambao wengi wao hawakuwa na sifa stahiki.Mwenye kufahamu anakotupeleka Rais Samia Suluhu Hassan naomba atuambie, Kwani ninaona kama vile tunapotea.