Rais Samia anatekeleza sera za Tundu Lissu?

Mwanzoni mwa utawala wa Mwendazake ilikuwa inasemwa anatekeleza sera za chadema, nasisitiza kwamba mwanzoni mwa utawala wa Mwendazake ilikuwa inasemwa kuwa alikuwa anatekeleza sera za chadema.
 
Natekeleza sera zenye afya kwa Taifa letu....she is a visionary leader
 
Mwenye kufahamu anakotupeleka Rais Samia Suluhu Hassan naomba atuambie, Kwani ninaona kama vile tunapotea.
Mtateseka sana,mama yetu anarudisha nchikwenye mstari mnyoofu.Bado anakumbana na changamoto za wateule wa Mwenezake ambao wengi wao hawakuwa na sifa stahiki.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom