Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

Kama magu angekuwa muuwaji angeanza na kuua kenge kama wewe.
Magufuli alikuwa muuaji ila kama angekuwa hai pengine angemuua mama yako, sijui kama ungepata muda wa kuandika hiyo NONSENSE
 
Najua mpo Chawa wa Rais Samia na Chawa wa Rais Magufuli lakini UKWELI LAZIMA USEME.Rais Samia Anaijua SIASA kuliko Rais Magufuli kwa Kiwango kikubwa .Moja ya Uthibitisho huo ni
1.Kuamua kufanya MARIDHIANO na CHAMA KIKUBWA cha UPINZANI chenye Wafuasi Wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo Rais MAGUFULI aliamini ADUI MKUBWA na HATARI kwa UTAWALA wake ni CHADEMA hivyo kufanya nao MARIDHIANO sio SAHIHI licha ya KUAMBIWA na KUOMBWA na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Wakiwa Mwanza.
Mwanasiasa Anayejua SIASA na Anayetaka kutawala kwa Amani lazima Ahakikishe UGOMVI na ADUI yake unaepukika na hilo ndilo alilolifanya RAIS SAMIA
Rais MAGUFULI aliongeza CHUKI kwa CHADEMA kwa Kuvuruga CHAGUZI
Kununua Wabunge na Madiwani wa CHADEMA akiamini ATAIUA CHADEMA ili Atawale bila UPINZANI
Kuzuia Mikutano ya Hadhara akiamini CHADEMA hawataongea na Wananchi Kuwakamata Viongozi Wanachama na Wafuasi wa Chadema na Kuwabambikizia Kesi na hata kuwafunga.
Leo RAIS SAMIA kupitia DPP wake Anaziondoa KESI za KUGUSHI na Watuhumiwa Wanatolewa MAGEREZANI
Rais SAMIA Katimiza Hitaji ya KIKATIBA kuruhusu MIKUTANO ya Vyama
Hakika RAIS SAMIA Anajua SIASA kuliko Rais MAGUFULI.
Anayepinga apinge kwa HOJA sio Mihemuko..
View attachment 2500074View attachment 2500077View attachment 2500079
Kila kiongozi ametekeleza kwa nafasi yake,Hayati alifocus kwenye usimamizi kwa nafasi yake ambayo sio kibaya.

Mama anasimamia kuerejesha siasa nayo pia sio mbaya.

Ila basically wananchi tunahitaji maendeleo na maisha yenye unafuu.
 
Sukuma Gang
Ukiijua siasa utanielewa. Huyu JK wanayesema leo ni mtu mzuri baada ya chaguzi zote waliishia kusema hawatambui matokeo wala hawamtambui rais.

Samia sio rais wa kupigiwa kura ni rais wa kikatiba. Kama atagombea 2025 ndio ataingia rasmi kwenye uwanja wa siasa. Wakati huo hata ccm kwenyewe kutakuwa na mitandao pinzani mbali ya upinzani wa nje.
 
Sawa, amekaa kwenye system muda mrefu.

Sema tu mfumko wa bei hasa ya vyakula ndo unamwangusha, Amwondee waziri wa chakula
 
Nimependa Polisi wanavyoandamwa ili wajifunze KUTENDA haki katika kipindi cha uchaguzi tupate washindi Kwa haki
 
Kama Magufuli angeendelea kuwa hai, pengine kufika leo angekuwa kisha muua Mama yako mzazi, sijui kama ungeweza kuandika huo upuuzi wako hapo juu
Hizi propaganda zilishapitwa na wakati. Sasa hivi mpango ni kutafuta pesa tu

Tafuta pesa ufute aibu ya ukoo. Awamu ya 6 hii hakuna kilichosimama kazi inaendelea
 
Watanzania hawaitaji siasa wanahitaji utendaji
 
Kamzidi kilakitu kuhusu uongozi bora...
mama akiongea kingreza hadi raha yule jombii wa 'pipo yuzi tu dai inze inze inze inze reki' ilikua taaabu
 
Mnabishana sana si muweke kura, live votes humu zipigwe mmalize huu ubishi wa kila siku kututundikia threads za kulinganisha
 
Back
Top Bottom